Hangaya yeye mwenyewe ansemaje kuhusu hiyo vita ya kiuchumi?Iko kama "The Comedy" tu:
US puts Tanzania, five other countries on travel red list
Beberu sasa katupiga kalamu kama
ilivyo kwa France, Portugal, Cyprus au Andorra.
Wengine wanapambana na hali zao, ila washupavu sisi.
India ilitaarifu abiria kuwasili kwao kutokea kwetu akiwa na kirusi Omicron. Wenyewe kwa raha zetu tungali tunachunguza ati kuwa, inaweza kuwa alitokea kwingine.
COVID-19: India adds Ghana and Tanzania to list of 'at risk' countries - The Financial Express
Kwamba ni vita vya kiuchumi? Kwamba tunao uzoefu wa kuishi nao?
Labda ungekuwa ukimwi.
-------------
#COVID19 - Tujifunze kuyasoma maonyo ya COVID-19
Ndiyo siri ya mafanikioHiyo kitaalamu tunaita kitendo bila kuchelewa
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Hiyo kitaalamu tunaita kitendo bila kuchelewa
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Muongo na mkaidi siku zote haaminikiPamoja na chanjo za aina zote tunazopokea bado hatuaminiki?
Dawa ya bishoo ni kuwa bishoo zaidi yakeKwetu ngoja tuchunguze kwanza.
Aliyesema hayo aliwahi pia kusema pale Mhimbili wanamalizia malizia kutengeneza chanjo yetu. Kisha kimya kama vile hakuwahi kusema.
Watakuwa wanatuona mazuzu kweri kweri.
Toka lini nchi yenye kuongozwa na ngedere wa kijani ikaaminika?Pamoja na chanjo za aina zote tunazopokea bado hatuaminiki?
Hangaya yeye mwenyewe ansemaje kuhusu hiyo vita ya kiuchumi?
Mazoea mabaya sanaAnadai sisi tulishazowea kuishi nao. Anahamasisha matamasha tena watu wajae pomoni Uhuru kama Tanganyika Packers.
Pamoja na chanjo za aina zote tunazopokea bado hatuaminiki?
Kwani Marekani ni peponi?