- Thread starter
- #41
Hapo itabidi awe likizo ya kusafiri
Alinukuriwa na wapambe kuwa hataki kuwa likizo magogoni au chamwino akipunga upepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo itabidi awe likizo ya kusafiri
Kuna likizo baabu kubwa kuliko kula mabata kwa mabeberu?Alinukuriwa na wapambe kuwa hataki kuwa likizo magogoni au chamwino akipunga upepo
Ikasepa nayeWazee wa kuwapangia wenzao jinsi ya kuishi.
Kama gaupo Tanzania unaweza ukasema huko watu wanakufa Sana na Corona.
Mimi sijawahi kuona wagonjwa wa Corona
Wazee wa kuwapangia wenzao jinsi ya kuishi.
Kama gaupo Tanzania unaweza ukasema huko watu wanakufa Sana na Corona.
Mimi sijawahi kuona wagonjwa wa Corona
Kuna likizo baabu kubwa kuliko kula mabata kwa mabeberu?
Kama Dj na DPPDawa ya bishoo ni kuwa bishoo zaidi yake
Wagonjwa wa ukimwi si unawaona hospital?Kama ukimwi Corona nayo haipimwi kwa macho.
Hivyo mkuu kwamba macho yako hayajaweza kuthibitisha Corona popote wala isikupe hitimisho la kujimwambafy nalo popote.
Hakuna mwenye mkataba na UHAI.Ikasepa naye
Tutanunuaje hizo bidhaa za china kama hela hakuna kutokana na covid kuangusha uchumi? Watalii wanatishwa wasije, wawekezaji wanatishwa wasije, NGO na charities zinazoajiri watu wanafunga miradi yao wanarudi kwao, tutanunua bidhaa china na hela zetu za madafu? Lazima tuingize dola na euro, kabla hatujaagiza chupi za china tujisitiri.Wewe ulikuwa mtangaza corona wakati uleee!! Naona sasa ajira yako imerudi. By the way USA siyo chakula cha watz. Sisi tunaendelea na maisha yetu kama kawaida tu. Bidhaa nyingi tunatoa china na wala si huko USA
Kama Ufaransa imewekwa sembuse Tzn?Iko kama "The Comedy" tu:
US puts Tanzania, five other countries on travel red list
Beberu sasa katupiga kalamu kama
ilivyo kwa France, Portugal, Cyprus au Andorra.
Wengine wanapambana na hali zao, ila washupavu sisi.
India ilitaarifu abiria kuwasili kwao kutokea kwetu akiwa na kirusi Omicron. Wenyewe kwa raha zetu tungali tunachunguza ati kuwa, inaweza kuwa alitokea kwingine.
COVID-19: India adds Ghana and Tanzania to list of 'at risk' countries - The Financial Express
Kwamba ni vita vya kiuchumi? Kwamba tunao uzoefu wa kuishi nao?
Labda ungekuwa ukimwi.
-------------
#COVID19 - Tujifunze kuyasoma maonyo ya COVID-19
Hakuna anayebisha ila kinacho tufanya kubakia na mshangao ni yeye kuidharau hiyo ugonjwaHakuna mwenye mkataba na UHAI.
Siku yako ukifika utaondoka tu.
Iwe Corona,ukimwi, malaria n.k
NI suala la muda.
Maradhi ni chanzo tu.
Utajinyonga mwaka huu ukaungane na jiweKama Dj na DPP
Hata corona wapo kibaoWagonjwa wa ukimwi si unawaona hospital?
Sio yeye tu .hata Mimi naudharau Sana huu ugonjwa.naona umekaa kiujanja janja sanaa.Hakuna anayebisha ila kinacho tufanya kubakia na mshangao ni yeye kuidharau hiyo ugonjwa
Hospital ipiHata corona wapo kibao
Ww jamaa ni mtu mbaya sana Kwa watanzania.Tangu umepiga umbeya wa covid ,vitisho na matusi mengi Kwa JPM,Sasa tena umerudi.Bado huna aibu...huoni uongo na ukweli ulishajitenga,bado unakomaa tu.Hicho kimeumana
Nakutakia safari njema huko uendako ingawa jf bado tulikuwa tunahitaji michango yako.Sio yeye tu .hata Mimi naudharau Sana huu ugonjwa.naona umekaa kiujanja janja sanaa.
Kuna kitu wanakitaka nadhani bado tumetia ngumu ...hii ndiyo sababu nadhani.