#COVID19 Corona: Marekani yaiweka Tanzania katika Mataifa Hatarini

tuache mbwembwe beberu hana rafiki...ona sasa anavyotufanya....JPM aliamua tu kuachana na mbwembwe...

Gonjwa hili kama algebra Lina njia na jibu moja tu.

Maoni ya Tiganga na Siyani huku si kwao tena.

Beberu kwenye hilo yuko wazi. Ndiyo maana si France, Portugal, au Greece wametulizana isipokuwa wenye midomo!

Atalaumiwa sana dobi, ila kaniki ni rangi yake!
 
Wengine tunaitwa eti wapotoshaji ngoja tuwaona hao waelimishaji wataishia wapii yaaani Mimi na JPM wapotoshaji kweli mtakiona......
 
Kwa hiyo wewe unataka tufanyeje kwa mfano?
 
Corona ianze kwao adhabu tupewe sisi
 
Wengine tunaitwa eti wapotoshaji ngoja tuwaona hao waelimishaji wataishia wapii yaaani Mimi na JPM wapotoshaji kweli mtakiona......

Kwamba:

1. Corona ni vita vya kiuchumi
2. Chanjo ni upigaji
3. Tupoje nyungu na tutumie matango pori

Huo ni upotoshaji. Kumbuka makalio ndiyo yanayoendelea kutuweka hatarini.

 
Corona ianze kwao adhabu tupewe sisi

Kudhani tumepewa adhabu kushindwa kuelewa tu. Mbona hata France na Portugal wamo humo na hawakoromi?
 
Mtanzania kwenye ubora wako:

View attachment 2037310

Kuchunguza abiria wa India na chanjo za mhimbili ni sehemu ya ubora huo.
Wewe ulikuwa mtangaza corona wakati uleee!! Naona sasa ajira yako imerudi. By the way USA siyo chakula cha watz. Sisi tunaendelea na maisha yetu kama kawaida tu. Bidhaa nyingi tunatoa china na wala si huko USA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…