#COVID19 Corona: Marekani yaiweka Tanzania katika Mataifa Hatarini

Wazee wa kuwapangia wenzao jinsi ya kuishi.
Kama gaupo Tanzania unaweza ukasema huko watu wanakufa Sana na Corona.
Mimi sijawahi kuona wagonjwa wa Corona
 
Wazee wa kuwapangia wenzao jinsi ya kuishi.
Kama gaupo Tanzania unaweza ukasema huko watu wanakufa Sana na Corona.
Mimi sijawahi kuona wagonjwa wa Corona

Kama ukimwi Corona nayo haipimwi kwa macho.

Hivyo mkuu kwamba macho yako hayajaweza kuthibitisha Corona popote wala isikupe hitimisho la kujimwambafy nalo popote.
 
Kama ukimwi Corona nayo haipimwi kwa macho.

Hivyo mkuu kwamba macho yako hayajaweza kuthibitisha Corona popote wala isikupe hitimisho la kujimwambafy nalo popote.
Wagonjwa wa ukimwi si unawaona hospital?
 
Wewe ulikuwa mtangaza corona wakati uleee!! Naona sasa ajira yako imerudi. By the way USA siyo chakula cha watz. Sisi tunaendelea na maisha yetu kama kawaida tu. Bidhaa nyingi tunatoa china na wala si huko USA
Tutanunuaje hizo bidhaa za china kama hela hakuna kutokana na covid kuangusha uchumi? Watalii wanatishwa wasije, wawekezaji wanatishwa wasije, NGO na charities zinazoajiri watu wanafunga miradi yao wanarudi kwao, tutanunua bidhaa china na hela zetu za madafu? Lazima tuingize dola na euro, kabla hatujaagiza chupi za china tujisitiri.
 
Kama Ufaransa imewekwa sembuse Tzn?
 
Hakuna mwenye mkataba na UHAI.
Siku yako ukifika utaondoka tu.
Iwe Corona,ukimwi, malaria n.k
NI suala la muda.
Maradhi ni chanzo tu.
Hakuna anayebisha ila kinacho tufanya kubakia na mshangao ni yeye kuidharau hiyo ugonjwa
 
Hicho kimeumana
Ww jamaa ni mtu mbaya sana Kwa watanzania.Tangu umepiga umbeya wa covid ,vitisho na matusi mengi Kwa JPM,Sasa tena umerudi.Bado huna aibu...huoni uongo na ukweli ulishajitenga,bado unakomaa tu.

Kwa Tanzania mpango wenu ovu wa hyo covid umefail..mjipange tena mbwa nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…