#COVID19 Corona: Marekani yaiweka Tanzania katika Mataifa Hatarini

Kesho nenda kapime maana naona covid isha kupiga kwenye ubongo
 
Hizo travel bans kwa sasa ni upuuzi tu, Kuna nguvu kubwa inatumika kufanya ugonjwa wa corona uwe ugonjwa kutokea bara la Afrika

Sema unampenda Mbowe,sio wote tunapenda huyo gaidi,#I hate Mbowe

You hate Mbowe. Tukiwapo na wengine tusiomchukia kama wewe asemeje sasa?

Labda ungempa mwongozo basi badala ya kuingia mitini kinyemela?
 
Hizo travel bans kwa sasa ni upuuzi tu, Kuna nguvu kubwa inatumika kufanya ugonjwa wa corona uwe ugonjwa kutokea bara la Afrika

View attachment 2037474

Katika nchi 5 tajwa hapo ya Africa ni moja ambayo imetamka wazi kuwa yenyewe imeuzowea. Hata India iliponyanyua bendera yenyewe iko busy kukusanya watu Tanganyika packers na kesho Uhuru.

Sasa mkuu ulitaka kushangiliwa?
 
Hata kabla ya Omricon, kuingia USA ilikuwa ni lazima uwe na cheti cha chanjo...

Pili, hadi sasa lazima uwe umejifunza kuwa hakuna nchi inaweza kuzuia kirusi cha korona kuingia kwenye nchi husika labda wafunge mipaka kabisa "total lockdown"
 
Inafahamika kuwa:

"hayupo aliye salama hadi wote tuwe salama. Kinachogomba ni kuwa kuna wanaopambana ili kutokuwa salama."

Hapo ndipo tulipong'ang'ania na ku perfect.

#COVID19 - Corona: Wasiochanjwa ni kichocheo kwa Virusi Hatari zaidi
 
Katika nchi 5 tajwa hapo ya Africa ni moja ambayo imetamka wazi kuwa yenyewe imeuzowea. Hata India iliponyanyua bendera yenyewe iko busy kukusanya watu Tanganyika packers na kesho Uhuru.

Sasa mkuu ulitaka kushangiliwa?
Kinachofanywa sasa hivi na hayo mataifa ni politics tu, hakuna ban iliyowekwa with proper scientific justification, hii ndio ilikuwa initial response ya "western" nations baada ya cases za Omicron kutangazwa
 
Kinachofanywa sasa hivi na hayo mataifa ni politics tu, hakuna ban iliyowekwa with proper scientific justification, hii ndio ilikuwa initial response ya "western" nations baada ya cases za Omicron kutangazwaView attachment 2037517

Tofautisha confirmation na ineptness.

Zingatia mfano wa case hii mkononi:

1. Abiria katoka Tanzania na kirusi hatarishi agundulika India
2. Kufuatia hilo, sisi wala haituhusu
3. Tuko busy Tanganyika packers na kesho uwanja utatapika Uhuru vilivyo.

Tofauti waiona hapo mjomba?
 
Wanahangaika tu, Covid ni ya kuishi nayo tu, haiishi leo wala kesho. Alafu si wanechanja hawa? Wanaogopa nini sasa?
Ndo ujue kwenye chanjo tumepigwa na kitu kizito kichwani, gen Collins alikuwa kachanja chanjo zote lkn ndiyo hivyo.
 
Acheni tu wazee wachache waliobaki hapa Tz wamalizwe na covid, watu wanapuuzia kuchanja,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…