Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,096
Kiswahili chako hichi kinaonyesha wewe Ni imposter..hatuwezi kuwa na mtz mjinga Kama wewe.Kwa kutokujikita kwenye mada mjinga mbona utakuwa ni wewe mkuu. Kwa kutokujikita kwenye mada iliyoko hapa hapa wewe mbona ndiyo mwenye kusubiri kusimuliwa. Umeshindwa kusoma na kujikita kwenye mada iliyipo hapa hapa, mfutilia habari utakuwa wewe?
Mbona mu watu wa kujidhalilisha namna hiyo?
View attachment 1470136
Haya mbona yameongelewa sana humu? Wewe huoni kama kuna tija yoyote?
Mkuu kama huoni si ubakie tu huko Twitter, Facebook au Instagram? Huko kutakufaa zaidi.
Mkuu akili ndogo kama yako huku itachemsha tu.
Mimi nakujua mabandiko yako yale yale,umepiga ramli kuhusu maambukizi ya corona ,mara utake takwimu ,sasa hivi umeahamia kwenye lawama.Sijaona ramli wala lawama popote. Si katika bandiko hili wala jingine lolote.
Kama hukuelewa, bandiko hili liko wazi:
View attachment 1470139
Jikite kwenye mada na unayoandika jiridhishe kuwa hujapotea njia.
Siyo mtz huyu..angalia kiswahili chake kwenye comments zake.Mimi nakujua mabandiko yako yale yale,umepiga ramli kuhusu maambukizi ya corona ,mara utake takwimu ,sasa hivi umeahamia kwenye lawama.
Inshu ya mipakani inaonesha kuna hujuma nyingi nafikiri pande zote mbili zimegeuka makubaliano
Nimesikia kiongozi wa madereva malori anasema mfano: mpaka wa rwanda na Tanzania gari zenye usajili wa rwanda au dereva wenye hati ya kusafiri wanaruhusiwa kupita mpakani japokuwa wengine wako na siku 30 hapo
Hivi corona ikiisha mleta uzi utaandika nini?Almost daily ni bandika bandua nyuzi za corona tu ukijificha kwenye kichaka cha uzalendo.Unalipwa kiasi gani kwa kila uzi ?
Siyo mtz huyu..angalia kiswahili chake kwenye comments zake.
Mimi nakujua mabandiko yako yale yale,umepiga ramli kuhusu maambukizi ya corona ,mara utake takwimu ,sasa hivi umeahamia kwenye lawama.
Inaonekana wewe si mfuatiliaji wa mambo
Mgogoro wa mpakani wa kenya na uganda,chanzo ni Tanzania??!!!
Mgogoro wa mpakani wa kenya na somalia,chanzo ni Tanzania???
Mgogoro wa mpakani wa kenya na tanzania,chanzo ni Tanzania
Halafu jiulize hapo kwa nini huyo kenya anagombana na majirani zake wote katika mipaka yake??!
Jikite wewe,endelea kupiga ramli.
Kiswahili chako hichi kinaonyesha wewe Ni imposter..hatuwezi kuwa na mtz mjinga Kama wewe.
Baba wa nyumbani ukija kwangu unafuata sheria za kwangu,kama kwangu ni lazima kuvua viatu basi lazima uvue,kama hutaki kuvua basi rudi ulikotoka,hata kama nikijaga kwako huwa unaniambia nisivue viatu mlangoni,kila nyumba ina sheria na taratibu zake,Kenya wamesema mkitaka kuingia kwao lazima mpimwe korona,nyie mnasema eti "mbona sisi hatuwapimagi"? Kwa hiyo msipooga kwenu na jirani mnampiga marufuku kuoga? Acheni ufala.Yaani humu kuna vivulana vingi sana. Hivi wewe baba wa nyumba unasolve matatizo ya nyumba yako kwa kufuata maamuzi ya jirani yako? Wewe utakuwa mtu wa ajabu sana. Kuwa na maamuzi yako kama baba. Na hiyo ndiyo misimamo ya wanaume halisi.
ImposterHoja mufilisi kabisa. Ungekuwa mtanzania mwenye chembe ndogo tu za uzalendo usingediriki kuandika wazo fyongo kama hilo.
Kwa mawazo yako unadhani wewe ni mtanzania kuliko wengine. Hayo sasa si ni yale ya simulizi za manyani kutokuona rear gate!
"Ama kweli akili ni nywele."
Kila serikali ina mikakati yake kupambana na corona,serikali ya magufuli imetilia mashaka vipimo hivyo kutovitumia ktk upimaji ,serikali ya tz imechukulia corona kama suala la ki-usalama,tofauti na nchi zote za africa mashariki,msimamo wa serikali ya tz tangu corona inaingia ni kutofunga mipaka..kwa hiyo ishu ni simple serikali ya kenya ifunge mpaka wake kwamba hakuna chochote kutoka tz kitakachoingia kenya jadi corona iisheOptions zote ziko mezani:
1. Kila mtu apime wageni wake
2. Tuwe na maabara moja ya pamoja mipakani.
3. Tufunge mipaka.
Ipi tunachagua?
Kelele za kila leo hazina tija!
Waambie Kenya kwamba makubaliano yalikuwa kila mtu apimwe nchi yao na mipakani waoneshe vyeti tu. Sasa kwa kuwa wamevunja makubaliano inabidi wao wenyewe warudi upya mezani kuomba suluhu. Na round hii wametupa tena nafasi ya kuongeza trms zetu zaidi maana tuko upande wa ushindi as always kama mwanzo.
Kwa kuvunja makubaliano ya wali tunashukuru sana maana mpaka ufunguliwe tena upya itabidi tuongeze terms nyingine tena mpya na wafate matakwa yetu. Tutazidi kuongoza na wao watafa na watatii tu. Ukigeu geu huko huko kwao.