Corona mpya?

Corona mpya?

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Ndugu tuwe makini nimeona dadili za corona tena inaweza kuwa kali kuliko zilizopita. Mambo yote huanza kama tetesi. Nina dots chache hapa:

1. Vifo vya ghafla vya watu maarufu wawili nchini. Haijasemwa directly nini kimewatoa but maelezo ya daktari yanaashiria ni masuala hayo

2. Mamangu mzee kuugua mafua kali haijapata kumtokea na yeye kajaliwa kinga kubwa sana dhidi ya mafua. Tunaweza kuugua wote nyumbani mafua yeye asiugue. Korona iliyopita hakuugua mafua hata kidogo wakati wengine wote tulisikia dadili zote za korona!

3. Mimi nina wiki sasa kifua kilianza polepole na sasa kimezidi kubana ilikuwa usiku tu lakini sasa hata mchana hasa nikilala. Niko busy na mitishamba huku kijijini.

4. Nasikia pia mahospitali watu wenye changamoto za upumuaji wameongezeka sana recently.

5. Nimeona pia uzi mwingine JF ukizungumzia jambo kama hili.

Dadili za kipindi hiki zinaweza jumuisha:

1. Kubanwa kifua hasa ukiwa umelala. Inaanza na kusikia kama vile vitu vinachomachoma kifuani
2. Kuumwa kichwa kwa mbali
3. Mafua (baadhi)
4. Hakuna kikohozi

Mytake: Kwa bahati mbaya Tanzania serikali yetu ipo nyuma ya wakati, ni serikali ya maji ya shingo, ubabaishaji, usiri usiojali maisha ya watu, uzembe na kutowajibika kutokana na madhila zinazowapata wananchi wake.

Take your steps based on the previous pandemic experience, usisubiri mtu.

Of course kirus hiki ni strain tofauti na kinaweza kuwa mutant wa strains zilizopita. Viral strains ni nyingi kama mjuavyo virus hubadilika kila wakati na kila kirus kina dadili zake na ukali wake.

Dots…
 
Una tatzo la Afya ya akili
 
Mbona watu wanakufa kila siku? Yaani hawa watu mashuhuri au maarufu hawaruhusiwi kufa? Acheni ujinga wenu huo..........watu kila siku tunazika,hao wasife kwani wao pua zao hazielekei ardhini? Hebu kazikeni huko tumechoka kila sehemu Corona corona......
 
Back
Top Bottom