Kumbe ni manka!
Waliomo ndani ndio wameufunga wewe wa nje unashangaa nini?!!Kwa mazingira ya msikiti wa Ngazija kulikuwa na ulazima wa kufungwa! kwasababu upo city centre na asilimia mia ya wanaofanya ibada pale ni wafanyakazi wa maofisini
Nyumbani!
wewe ungekuwa bashite ungeweka limit ya wafia dini wangapi?Lakini wao kabla hawajaingia ibadani si huwa wananawa mikono na uso kabisa haikuwa na haja yakufungiwa labda wangewekewa limit ya waumini kuingia ili wasijazane
FaizaFoxy [emoji115][emoji115]Wamekubali Allah hatauepusha msikiti na Coronavirus Covid-19?
Waswahili walisema "Penye ukweli, uongo hujitenga".
Hizi habari za Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuwepo, ni uongo.
Na magonjwa kama haya yanapofunga misikiti mpaka Maka na makanisa mpaka Vatican City, inatenganisha ukweli na uongo.
Mungu gani anawatupa waumini wake hata washindwe kwenda msikitini au kanisani?
Huyu Mungu yupo kweli?
Au tunafarijiana kwa stories za uongo tu?
Sent from my typewriter using Tapatalk
Hapo ndio watu wanashindwa kuzijibu Points zako, Na kujiuliza Je! Dini zililetwa kwa maslahi gani AfrikaWamekubali Allah hatauepusha msikiti na Coronavirus Covid-19?
Waswahili walisema "Penye ukweli, uongo hujitenga".
Hizi habari za Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuwepo, ni uongo.
Na magonjwa kama haya yanapofunga misikiti mpaka Maka na makanisa mpaka Vatican City, inatenganisha ukweli na uongo.
Mungu gani anawatupa waumini wake hata washindwe kwenda msikitini au kanisani?
Huyu Mungu yupo kweli?
Au tunafarijiana kwa stories za uongo tu?
Sent from my typewriter using Tapatalk
Msikiti wa Ngazija uliopo Posta jijini Dar umefungwa kwa muda wa siku 21 kuanzia tarehe 30/03/2020 hadi 19/04/2020 kama hatua ya kupunguza mikusanyiko ya watu.
Uongozi wa Msikiti umesema Uamuzi huo ni mgumu lakini hauna budi kuchukuliwa ili kuwanusuru waumini na risk ya kuweza kupeana maambukizi ya Corona.
Niendelee kuwatakia kwaresma njema!
Hapana bwashee serikali ndio imewatangulia kwa kuwataka wananchi wasisongamane!
Lakini wao kabla hawajaingia ibadani si huwa wananawa mikono na uso kabisa haikuwa na haja yakufungiwa labda wangewekewa limit ya waumini kuingia ili wasijazane
Meanwhile kwa RCs Jumapili ijayo itakuwa ya matawi na utaratibu wa maandamano uko kama miaka yote.
Hili suala lisiachwe kuwa utashi wa viongozi wa dini wenyewe bali serikali ichukue hatua kwa kufunga nyumba zote za ibada.