Corona: Msikiti Ngazija uliopo Posta jijini Dar es Salaam wafungwa kwa siku 21 kuepusha misongamano ya waumini

Corona: Msikiti Ngazija uliopo Posta jijini Dar es Salaam wafungwa kwa siku 21 kuepusha misongamano ya waumini

Kama hayupo chanzo cha binadamu ni nini?
Ni kama vile hakuna binadamu anayeweza kuelezea au kuelewa we are from nothing.

Sent using Jamii Forums mobile app
Suala la chanzo lina maana katika large scale of universe tu.

Ukizama katika fundamentals za ulimwengu, causality itself breaks.

Kwenye Quantum Physics kwa mfano, the cause can come after the effect, the effect can come before the cause.

In fact, at this level, time itself may not exist, and without time, causality breaks down.

Tunauangalia ulimwengu kwa level yetu.

Tukizama zaidi kuna mengi yanashangaza sana zaidi ya habari za Mungu.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
ndo maana nasisititiza kila siku hakuna haja ya binadaamu kuuana na kuchanjana kwa sababu ya dini..haya sasa corona hiyo dini zote tunazozifahamu kila mmoja anawaambia wafuasi wake wakae majumbani manake mkusanyiko ibadani ni kudanja tu.

Tuchukue tahadhari sana kwa sasa mihemko ya dini tuweke pembeni common sense itawale naamini popote alipo mtu ibada yake inasikika kwa Mungu wake..
 
Wafunge salama.
Utamwekea kofuli Mungu wa kweli?

Vitabu vitakatifu vinasema tuwatii wenye mamlaka

Sasa sijui huo msikiti unasoma vitabu gani vitakatifu. Anyway mungu wao awasaidie
Vipi hushangai Makanisa Vatican hayajafungwa lakini hayana mtu anaekwenda "mpaka yanatisha"?...

CatholicPhilly

CLOSE
World NewsPreventing pandemic: Vatican moves to stop spread of coronavirus
font-415x311.jpg

One of several empty holy water fonts is seen in St. Peter’s Basilica at the Vatican March 4, 2020. Churches in Rome have adopted measures to prevent the spread of the COVID-19 coronavirus in Italy. (CNS photo/Junno Arocho Esteves)
By Junno Arocho Esteves • Catholic News Service • Posted March 5, 2020


VATICAN CITY (CNS) — The month of March is usually when tourists flock to the Eternal City after the cold winter months and pilgrims come to pray at many holy sites during the Lenten season.
With news of the growing number of people infected with the novel coronavirus, increasing travel restrictions and the Italian government’s order to close all schools, universities and institutes until March 15, places like the Milan cathedral, known as the “Duomo,” and the Sistine Chapel at the Vatican are eerily empty.


Source: Preventing pandemic: Vatican moves to stop spread of coronavirus
 
Kuran chapter ya 3 verse ya 97 inasema yeyote atakayeingia kaaba atakua salama

If you beleive in the kuran then why have you shut it down?
IMG_20200331_193700_044.jpeg


It's Scars
 
Wafunge salama.
Utamwekea kofuli Mungu wa kweli?

Vitabu vitakatifu vinasema tuwatii wenye mamlaka

Sasa sijui huo msikiti unasoma vitabu gani vitakatifu. Anyway mungu wao awasaidie
SOMA VZR KWA SABABU GANI WAMEAMUA KUFUNGA MSIKITI KWA MUDA??

UTAGUNDUA NI KTK KUWEKA MAZINGIRA BORA, NA TAHADHARI KISHA IBADA ZIENDELEE BAADA YA KUKAMILISHA.

UBAYA KTK HILO UPO WAPI?? MAMBO YASIOKUHUSU NI BORA KUNYAMAZA. wala sio laxima kuchangia mada zote
 
Wafunge salama.
Utamwekea kofuli Mungu wa kweli?

Vitabu vitakatifu vinasema tuwatii wenye mamlaka

Sasa sijui huo msikiti unasoma vitabu gani vitakatifu. Anyway mungu wao awasaidie
Yale majani yenye moshi wenye harifu kali ni mazuri ikiwa unapoyavuta utakuwa utakuwa umekula.
Sawa, tumekuelewa kaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mazingira ya msikiti wa Ngazija kulikuwa na ulazima wa kufungwa! kwasababu upo city centre na asilimia mia ya wanaofanya ibada pale ni wafanyakazi wa maofisini
Nani kakwambia ni watu wa maofisini, wengi ni ma- mishen town na wale matapeli kwenye stationaries wanaofoji nyaraka za serikali na wazee wa kulobi.

Ule msikiti siku hizi wakiswali wanafunga barabara, hii inavunja haki ya waislamu wengine ambao hawajaamua kuswali na wanapenda kufanya shughuli zao,
hivi nao walokole wakiamua kufunga barabaara kwakuwa kanisa ni dogo na wakatoliki nao wakafunga barabara na wasabato nao wakafunga barabara na maduka jirani kudhiriwa nchi itakalika kweli?
 
ndo maana nasisititiza kila siku hakuna haja ya binadaamu kuuana na kuchanjana kwa sababu ya dini..haya sasa corona hiyo dini zote tunazozifahamu kila mmoja anawaambia wafuasi wake wakae majumbani manake mkusanyiko ibadani ni kudanja tu.

Tuchukue tahadhari sana kwa sasa mihemko ya dini tuweke pembeni common sense itawale naamini popote alipo mtu ibada yake inasikika kwa Mungu wake..

Mungu yupo,lakini kwa vile hizi dini ni mali ya binadamu na si za Mungu,viongozi wake wameshindwa kuwasiliana na Mwenyezi Mungu.Tangu zamani Mungu alikuwa anawasiliana na watu binafsi(mitume na manabii) ambao hawakuwa viongozi wa dini yoyote.Mohamed hakuwa na dini yoyote ya wakati huo, lakini Mungu aliweza kuwasiliana naye binafsi.Yesu hakuwa kiongozi wa dini yoyote ya wakati wake na alikuwa mpinzani mkubwa wa viongozi wa dini za wakati huo.Hivyo kwa sasa tunasubiri sauti ya Mungu itakayokuja kutuokoa kupitia nabii au mtume wake mwingine.DINI ZA SASA ZIMESHINDWA.NDIYO MAANA KATIKA VITA VYA KUPIGANA NA CORONA HAWAOMBWI USHAURI WALA MSAADA.WAMEBAKIA KUYAKIMBIA MAJUMBA WANAYOYAITA NYUMBA ZA MUNGU
 
Back
Top Bottom