johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa sasa mkazo unawekwa katika kudhibiti wimbi la tatu la covid 19 pamoja na kuimarisha hali ya uchumi wetu ikiwemo kuwarejesha wawekezaji waliotukimbia.
Kuruhusu mikutano ya kisiasa na ile ya Katiba Mpya kutarudisha nyuma jitihada hizi kwani Tanzania siyo kisiwa.
Rais Samia yuko sahihi.
Mbowe na Tundu Lissu vuteni subira mambo mazuri yanakuja.
Nawasalimu kwa jina la JMT!