Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi,
Nmemsikiliza Waziri Ummy Mwalimu akizungumzia changamoto za uwaziri wake kwenye Janga la Corona.
Kwanza naomba kukiri, kwa vile Waziri huyu ni mwanamke, na jinsi alivyo, muonekano wake wa sura, shape, macho yale, kaumbo portable fulani, ukijumlisha ni Tanga line, hivyo mwanzo nilidhani kaupata uwaziri kwasababu zile!.
Lakini kupitia janga hili la Corona, kuna mambo ya chini kwa chini, mambo ya ndani kwa ndani yametokea ambayo yametokea na hayajatajwa mpaka sasa ila tumetangaziwa tuu matokeo,
To start with, msikilize rais Magufuli akimzungumzia Waziri Ummy Mwalimu ambapo pia amedokeza sababu za kumtumbua mtu
Na baada ya kumsikia rais Magufuli akimsifu, Ummy Mwalimu, sasa msikilize Mhe. Ummy Mwalimu mwenyewe akizungumza,
Naamini baada ya kusikiliza, utakubaliana na mimi, huyu ni mwanamke wa shoka kweli kweli.
Sasa katika ulingo wa siasa za Tanzania, kwa muda mrefu tumekuwa tuki undermines "strength of a woman" kwenye politics kuwa Tanzania, ukimuondoa Makamo wa rais, Mama Samia Suluhu Hassan, hatuna mwanamke presidential material kama nilivyo uliza hapa..
Siku ya Wanawake Duniani: Je, Tuna Wanawake Wenye Sifa za Presidential Material?! - JamiiForums
Jee sasa kupitia mtihani huu wa Corona, jee Mhe. Ummy Mwalimu, amepasi mtihani? Jee anaweza?, ni uwezo wa hata kuwa presidential material?, au haya ni mambo ya Tanga?!. Hivi kweli inawezekana vipi madaktari Bingwa hao wote watano waliomzunguka, wameng'olewa, na yeye ambaye wala sio daktari ndio kaibuka shujaa wa Corona?!. Ni utendaji uliotukuka, professionalism, or pia kuna Tangaism?!.
Jee mnaonaje, should we put her to a test kwanza kwa kumjaribu ampokee Majaliwa kwenye u PM, na Majaliwa ampokee Magufuli?, akiweza, then apande kule juu kileleni?.
NB, sijasema lini, nimeuliza tuu mnaonaje?. Huyu atafaa hadi kuja kuwa mwanamke wa kwanza kukalia ile drivers seat?, anaweza?, atafiti?, au haya ya Corona ni mazingaumbwe tuu ya Tanga?.
Ombi: Katika kujadili hili, please tusilete stereotypes kwenye issue hii!.
Paskali

- KM ambaye ni MD ameng'olewa, na kuhamishwa!, unajua why?!
- Chief Medical Officer ni MD, ameng'olewa!, unajua why?!.
- Mkurugenzi Mkuu wa Central Medical Laboratory ambaye ni MD, ameng'olewa!, unajua why?!.
- Mkurugenzi Mkuu wa MSD ambaye ni MD, ameng'olewa!, ameletwa mjeshi!, unajua why?.
- Naibu Waziri ambaye ni MD, ameng'olewa!, unajua why?.