Wanabodi,
Nilikuwa namsikiliza Waziri Ummy Mwalimu,
Kwanza naunga nikiri, kwa vile hii ni Tanga line, hivyo mwanzo nilidhani kaupata uwaziri kwasababu zile!.
To start with, msikilize rais Magufuli akimzungumzia Waziri Ummy Mwalimu ambapo pia amedokeza sababu za kumtumbua mtu
Lakini baada ya kumsikiliza rais Magufuli akimsifu, na kumsikia mwenyewe akizungumza,
Utakubaliana na mimi, huyu ni mwanamke wa shoka, jee mnaonaje kama atampokea Majaliwa, na Majaliwa ampokee Magufuli?.
Hii ni kufuatia hoja za bandiko hili
Siku ya Wanawake Duniani: Je, Tuna Wanawake Wenye Sifa za Presidential Material?! - JamiiForums
Jee Mhe. Ummy Mwalimu anaweza?.
NB, sijasema lini, nimeuliza tuu mnaonaje?. Huyu atafaa hadi kuja kuwa mwanamke wa kwanza kukalia ile drivers seat?. Atafiti?.
P