#COVID19 Corona ni Mtihani, Jee Ummy Mwalimu Amepasi Mtihani?. Mnaonaje Ampokee Majaaliwa as PM, na Majaliwa Ampokee Magufuli?.

#COVID19 Corona ni Mtihani, Jee Ummy Mwalimu Amepasi Mtihani?. Mnaonaje Ampokee Majaaliwa as PM, na Majaliwa Ampokee Magufuli?.

Tumpongeze Rais wetu Magufuli kwa kutoka Chato alikokua amejificha [emoji28] [emoji28] [emoji28] lazima amuone Ummy shujaa…[emoji28][emoji28]
RC wake si alisema kifo hakikimbiwi. Kwahiyo wale wote walioenda kijijini wakiogopa kufa warudi mjini.
Kwahiyo hili dongo pia boss wake lilikua linamhusu 100%.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulisema Makonda ndo anafaa kumpokea Magufuli sasa imekuaje tena upepo umehamia kwa Majaliwa?
Wanabodi,
Nilikuwa namsikiliza Waziri Ummy Mwalimu,

Kwanza naunga nikiri, kwa vile hii ni Tanga line, hivyo mwanzo nilidhani kaupata uwaziri kwasababu zile!.

To start with, msikilize rais Magufuli akimzungumzia Waziri Ummy Mwalimu ambapo pia amedokeza sababu za kumtumbua mtu

Lakini baada ya kumsikiliza rais Magufuli akimsifu, na kumsikia mwenyewe akizungumza,

Utakubaliana na mimi, huyu ni mwanamke wa shoka, jee mnaonaje kama atampokea Majaliwa, na Majaliwa ampokee Magufuli?.

Hii ni kufuatia hoja za bandiko hili
Siku ya Wanawake Duniani: Je, Tuna Wanawake Wenye Sifa za Presidential Material?! - JamiiForums

Jee Mhe. Ummy Mwalimu anaweza?.

NB, sijasema lini, nimeuliza tuu mnaonaje?. Huyu atafaa hadi kuja kuwa mwanamke wa kwanza kukalia ile drivers seat?. Atafiti?.

P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh! Amefanya nini? She was receiving orders from Jiwe! Hakuna innovation yoyote aliyoifnya! Hata Majaliwa hana lolote ambalo hata Kingwendu asingeliweza kufanya!

Kuitikia "NDIO AFANDE" mbona hata mgambo wa kijiji wanaweza?
 
HATA KUKATA VIUNO KITANDANI USIKU KUCHA NAO NI USHUJAA.

KUWA MNAFIKI NA KUSEMA UONGO HADHARANI NAO NI USHUJAA.

KUNA USHUJAA WA AINA NYINGI...

UMMY HANA SIFA YA KUWA HATA DIWANI KWA MUJIBU WA KATIBA YETU YA CCM..

KUNA KIPENGELE CHA "nitasema kweli daima, uongo kwangu mwiko".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh! Amefanya nini? She was receiving orders from Jiwe! Hakuna innovation yoyote aliyoifnya! Hata Majaliwa hana lolote ambalo hata Kingwendu asingeliweza kufanya!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Very true nimewaza kama wewe hawakuwa strategic,walikuwa wanabahatisha tu.
Bila ya watu wa mitishamba kuumiza kichwa tungeangamia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna cha kipekee alichofanya zaidi ya kutangaza data ambazo mimi na wewe hatuna uhakika zina ukweli kiasi gani, kwani wewe 'njaa' ungeshidwa kufanya hivyo ? Si bora ungewapongeza wahudumu wa afya waliorisk maisha yako kuwahudumia wagonjwa?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HATA KUKATA VIUNO KITANDANI USIKU KUCHA NAO NI USHUJAA.

KUWA MNAFIKI NA KUSEMA UONGO HADHARANI NAO NI USHUJAA.

KUNA USHUJAA WA AINA NYINGI...

UMMY HANA SIFA YA KUWA HATA DIWANI KWA MUJIBU WA KATIBA YETU YA CCM..

KUNA KIPENGELE CHA "nitasema kweli daima, uongo kwangu mwiko".

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani anasema kweli kwa mujibu wa katiba hapo chamani!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Very true nimewaza kama wewe hawakuwa strategic,walikuwa wanabahatisha tu.
Bila ya watu wa mitishamba kuumiza kichwa tungeangamia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wali bank of serendipity! Walibahatisha, there was no any plans to tackle the pandemic! Hawana tofauti na Kingwendu!
 
Mimi ningewaona vichwa kweli kama madaktari wao kupitia wizara ya afya wangevumbua vidonge vya kutibu corona.
Leo hii tunakimbilia kuchukua dawa madagascar ndio inatupa kiburi na kuna bwana mdogo mmoja wa mitishamba kibaha ndio ametengeneza dawa yake,hana maabara wala kifaa chochote.
Yaani wali bank of serendipity! Walibahatisha, there was no any plans to tackle the pandemic! Hawana tofauti na Kingwendu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka tutakapofikia 50% ya viongozi wa taasisi za umma kuwa wanawake hapo tunaweza kuwa na Rais Mwanamke.

Kuhusu Majaliwa kumpokea Magufuli, hiyo ni agenda ya mwaka 2025, kuijadili sasa ni futuhi tu.

Umi nae kumpokea Majaliwa, nafikiri bado tunamuhitaji kwenye eneo hili la afya kwa miaka mitano ijayo, ameshabaini mapungufu mengi kwenye eneo hili, sasa korona ikitulia, anaweza akatusaidia kuboresha maeneo mengi sana kwenye sekta ya afya, 2020 ajitahidi achukue jimbo la tanga kisha 2025 tutajadili hili la kurithi mikoba ya Majaliwa.
 
Amefeli sana nafikiri serikali ikae chini na kuangalia mustakabali mzima wa huduma ya afya kama hospital zilikuwa zinakataa wagonjwa kisa wakapime Corona kwanza au kitendo madereva kupatikana na virusi baada ya kupimwa nje ya nchi na kipimo cha Corona kuwa sehemu moja na madaktari kukosa vifaa vya kukikinga ni udhaifu mkubwa kwake
 
Back
Top Bottom