MICHAEL SON
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 458
- 536
Ummy amefaulu kushikiwa akili,,na maelekezo kutoka juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RC wake si alisema kifo hakikimbiwi. Kwahiyo wale wote walioenda kijijini wakiogopa kufa warudi mjini.Tumpongeze Rais wetu Magufuli kwa kutoka Chato alikokua amejificha [emoji28] [emoji28] [emoji28] lazima amuone Ummy shujaa…[emoji28][emoji28]
Wanabodi,
Nilikuwa namsikiliza Waziri Ummy Mwalimu,
Kwanza naunga nikiri, kwa vile hii ni Tanga line, hivyo mwanzo nilidhani kaupata uwaziri kwasababu zile!.
To start with, msikilize rais Magufuli akimzungumzia Waziri Ummy Mwalimu ambapo pia amedokeza sababu za kumtumbua mtu
Lakini baada ya kumsikiliza rais Magufuli akimsifu, na kumsikia mwenyewe akizungumza,
Utakubaliana na mimi, huyu ni mwanamke wa shoka, jee mnaonaje kama atampokea Majaliwa, na Majaliwa ampokee Magufuli?.
Hii ni kufuatia hoja za bandiko hili
Siku ya Wanawake Duniani: Je, Tuna Wanawake Wenye Sifa za Presidential Material?! - JamiiForums
Jee Mhe. Ummy Mwalimu anaweza?.
NB, sijasema lini, nimeuliza tuu mnaonaje?. Huyu atafaa hadi kuja kuwa mwanamke wa kwanza kukalia ile drivers seat?. Atafiti?.
P
Mh! Amefanya nini? She was receiving orders from Jiwe! Hakuna innovation yoyote aliyoifnya! Hata Majaliwa hana lolote ambalo hata Kingwendu asingeliweza kufanya!
Hii ni ishara kuwa maambukizi yamepungua, asinge risk maisha yake huyu. Maabukizi yakichanganya tu atakimbia tena.Tumpongeze Rais wetu Magufuli kwa kutoka Chato alikokua amejificha [emoji28] [emoji28] [emoji28] lazima amuone Ummy shujaa…[emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Very true nimewaza kama wewe hawakuwa strategic,walikuwa wanabahatisha tu.Mh! Amefanya nini? She was receiving orders from Jiwe! Hakuna innovation yoyote aliyoifnya! Hata Majaliwa hana lolote ambalo hata Kingwendu asingeliweza kufanya!
Nani anasema kweli kwa mujibu wa katiba hapo chamani!HATA KUKATA VIUNO KITANDANI USIKU KUCHA NAO NI USHUJAA.
KUWA MNAFIKI NA KUSEMA UONGO HADHARANI NAO NI USHUJAA.
KUNA USHUJAA WA AINA NYINGI...
UMMY HANA SIFA YA KUWA HATA DIWANI KWA MUJIBU WA KATIBA YETU YA CCM..
KUNA KIPENGELE CHA "nitasema kweli daima, uongo kwangu mwiko".
Sent using Jamii Forums mobile app
Waislamu wanaruhusiwa ili kuepusha shari!Hakuna cha kipekee alichofanya zaidi ya kutangaza data ambazo mimi na wewe hatuna uhakika zina ukweli kiasi gani, kwani wewe 'njaa' ungeshidwa kufanya hivyo ? Si bora ungewapongeza wahudumu wa afya waliorisk maisha yako kuwahudumia wagonjwa?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wali bank of serendipity! Walibahatisha, there was no any plans to tackle the pandemic! Hawana tofauti na Kingwendu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Very true nimewaza kama wewe hawakuwa strategic,walikuwa wanabahatisha tu.
Bila ya watu wa mitishamba kuumiza kichwa tungeangamia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wali bank of serendipity! Walibahatisha, there was no any plans to tackle the pandemic! Hawana tofauti na Kingwendu!