#COVID19 Corona ni Mtihani, Jee Ummy Mwalimu Amepasi Mtihani?. Mnaonaje Ampokee Majaaliwa as PM, na Majaliwa Ampokee Magufuli?.

Mayalla toka upewe dongo na mkuu siku ile naona ueleweki na ukumbuke uliambiwa maana ya mayala ni njaa njaaa,sasa naona hapa unataka kutuletea njaa ya ufikiri bro cheza na vyote duniani sio uhai wa mtu.

Sent from my TECNO-J5 using Tapatalk
 
Paskali hizi propoganda zitatuangamiza, hizo data kuwa ugonjwa umepungua wanatoa wapi?
Maabara haifanyi kazi, hawatangazi walokufa, wala waloambukizwa, ni uhayawani huu.
Mitaani wagonjwa kibao, vifo kibao sema watu hawaendi tena hospital maana huko ndiko liliko kaburi.
Wanajitibia wenyewe
Mwenye kufa hayaaaaaa,
Mweny kupona hayaaaaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera PM kwa kujitutumua, kila post yako ina links zaidi ya 3, Wasukuma mna laana ya misifa hadi kero, ningezaa na msukuma ningejuta
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo hakuna hata mmoja mwenye nafuu, watoke woote, wakaanze ufugaji wa samaki Dodoma kwa Mizengo Pinda.
 
Tumpongeze Rais wetu Magufuli kwa kutoka Chato alikokua amejificha [emoji28] [emoji28] [emoji28] lazima amuone Ummy shujaa…[emoji28][emoji28]
Sema tumshukuru rais wa Madagascar kwa kutupatia "kichupa cha corona" maana LA sivyo kurudi Dodoma ingekuwa December

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh! Amefanya nini? She was receiving orders from Jiwe! Hakuna innovation yoyote aliyoifnya! Hata Majaliwa hana lolote ambalo hata Kingwendu asingeliweza kufanya!
 
Mayalla toka upewe dongo na mkuu siku ile naona ueleweki na ukumbuke uliambiwa maana ya mayala ni njaa njaaa,sasa naona hapa unataka kutuletea njaa ya ufikiri bro cheza na vyote duniani sio uhai wa mtu.

Sent from my TECNO-J5 using Tapatalk
KM will make a good president.Ana hekima na Utu.Serious as well
 
Tanga kuna kitu kinaitwa " Mvuto"

Au urithi wa Mandondo!
 
Hiyo kauli ya Magufuli mwishoni kwamba Naibu Waziri wa Afya ana jimbo, halafu jimbo lake likose madawa kwenye hospitali zake haiwezekani, mwisho anasema message sent, sijui Ndugulile hospitali za jimbo lake hazikuwa na madawa?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…