#COVID19 Corona ni Mtihani, Jee Ummy Mwalimu Amepasi Mtihani?. Mnaonaje Ampokee Majaaliwa as PM, na Majaliwa Ampokee Magufuli?.

Paschal. Huyu binti ni Shoka kweli kweli. Nadhani hata Mume wake kwa Kuona Uthabiti wa Honey wake hata kuosha Vyombo nyumbani na Kuogesha watoto wakati mama Akiwa anatutumikia watanzania. Hasione haibu maana mama kamtoa kimaso maso
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poti bana......
 
Acha uongo wewe kujifukiza ndiyo ilikuwa tiba yetu kule kijijini enzi za mwalimu, Ndugulile kazaliwa ocean load atajulia wapi nyungu. Kwa taarifa yako kuanzia 1974 mpaka 1984 Tanzania hapakuwa mahali salam kuishi lakini watanzania wa wakati ule walienda na nyimbo za Mwalimu Nyerere, tulikubali umaskini ni wetu na nchi ni yetu na rais ni wetu.Tulipambana na majanga makubwa mawili;
Kwanza Viata vya NDULI AMINI, Pili njaa. Dawa mahospitalini hazikuwepo, malaria, kifua yote yalitibiwa kwa njia ya kujifukiza.

Acheni kudanganya watu enzi hizo maduka yalikuwa ya kijiji hapakuwa na atelnative shops, tulipanga foleni kupata mahitaji, duka lilikuwa na bidhaa tatu tu, sabuni sukari na chumvi. Leo mna kila kitu halafu mnabeza kujifukiza, UJINGA MTUPU
 
Kaka Pascal uliwahi kuandika hapa ukimsifia Naibu Waziri mh Ndungulile kuwa Ni mtu ambaye ni proffesional kwenye afya na msaada wake Ni mkubwa. Na anachokifanya na kusema au kushauri hasa ktk kipindi hiki Cha kupambana na janga la corona Ni muhimu na unatumia uwezo na ujuz wake ipasavyo kuliko Waziri mwenyewe Mwenye dhamana ambae Sio mtaalamu was afya

Leo baada ya Mh Rais kumsifia na kumpongeza Mheshimiwa Ummy mwalimu, mtazamo wako umehama na kukubaliana na Rais kwamba Ummy mwalimu Ni jembe katika nafasi aliyopo hasa kipindi hiki kuliko wenye taaluma ya udaktari.

Kupitia post yako hiyo hapo juu Ni kwamba hauna unachoamini na kusimama katika Lile unaloliamini. Msimamo na analysis yako Ni guidings za matamko ya wanasiasa ambayo yanaweza kuharibu hata taaluma yako ya uandishi wa habari

Ushauri: Simamia unachokiamini Kama mwandishi wa habari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshenzi mkubwa wee. Hopefully huna watoto wa kike.
 
"Hivi kweli inawezekana vipi madaktari Bingwa hao wote watano waliomzunguka, wameng'olewa, na yeye ambaye wala sio daktari ndio kaibuka shujaa wa Corona?!. Ni utendaji uliotukuka, professionalism, or pia kuna Tangaism?!".
Msingi wa hoja yako upo hapo juu kwenye hayo maandishi. Hayo mengine umeyaandika kwa ajili ya "misukule" inayopenda kula pumba badala ya mchele.
 
Kuna siku watu watasema umemtabiria Ummy..
Sitashangaa akiukwaa Upm siku moja..
Sio utabiri ni kusoma trending tu..

Baada ya majaliwa Ummy na Jaffo wana nafasi kubwa
 

Nje ya hapa ni ushirikina tu
 
Mkuu jaribu kuelewa mada za Pascal Mayalla . Zinakuwa zinachokoza ili kufungua watu akili. Kwa kifupi ni kuwa Magufuli hakutaka approach ya kitaalam kwenye hili swala. Infact mambo yake mengi huwa anapenda kuyafanya ki-ukichaa kichaa jinsi kichwa chake kinavyodhani ni sawa. Sasa akikutaka na watu wataalam haiwezi kuiviana nao. Anapenda wale wenye ubongo mgando wa kuitikia ''hewala bwana'' na kutekeleza. Hushangai ni kwanini teuzi zake zote zinalenga kwa watu wenye ubongo usiofikiri? Prof Asad alikuwa kichwa sana sana lakini akaondolewa. Makonda ni kilaza wa kutupwa lakini anasifiwa. Basi hivyo hivyo kwenye hili kwenye thread limebeba kaliba ya Magufuli.
 
Mkuu kosa langu liko wapi sasa?
Na mi si nimefunguka akili nikachangia kiakili akili au ulitaka nimsapoti tu huyu Pascal Mayalla bila kuhoji vitu vya msingi vya kuendeleza mada...??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…