kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
Una mtu unayemjua kafa kwa korona?Mbona nyuzi za corona zimekuwa nyingi sana humu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una mtu unayemjua kafa kwa korona?Mbona nyuzi za corona zimekuwa nyingi sana humu?
Kumezuka katabia ka watu kutishia wananchi Kuwa Corona ipo Tanzania utadhani wao wanaumwa Corona au ndugu zao wamekufa kwa CORONA. Watu wamebeba mabango Kuwa serikali inawaficha wagonjwa wa corona. Ukiwauliza wewe unaumwa? Ndugu yako anaumwa hiyo corona? Rafiki yako amekufa kwa corona? Wanabaki kusema watu wanakufa huko kwa Corona.
Niwaambie na kuwashauri Watanzania wenzagu Corona ipo Duniani kama ilivyo Malaria, UKIMWI n.k. Je Wazungu kule kwao Malaria ipo kama ili huku kwetu? Wazungu wanakufa UKIMWI kama tunavyofa Afrika? Kwani kipindi kile watu wanakufa Ebora huko Congo, Uganda n.k Tanzania au USA walikufa?
Hivi Kama Tanzania watu wanakufa kwa UKIMWI na Wazungu hawafi kwa UKIMWI ni dhambi kwa nchi nyingine watu kufa kwa Corona na Tanzania tukabaki salama? Huko kwenu kuna maiti zinaokotwa barabarani Kama walivyotutabilia? Tuache barbaric thinking. Badala ya kumshukuru Mungu Kuwa pamoja na watu huko Duniani kufa kwa corona Mungu umetuepusha na wingu hili tunabaki tunainung'unikia serikali kuwa inaficha utadhani wewe unaumwa na umefichwa! Hapana.
Mungu aliamua kutuachia UKIMWI na ametuepusha na Corona, shida nini? Watanzania tumerogwa na Nani? Inawezekana Tanzania corona ipo, lakini imedhibitiwa na aina ya vyakula tunavyo kula au aina ya maisha tunayoishi. Sasa kwa nini tulazishe tufe kama wanavyokufa wao? Nao Wazungu Mungu amewaepusha na UKIMWI na Malaria sauti sijasikia vizuri....na kazia kwenye lishe..serikali iendelee kudhibiti mbegu zinazoingia GMO's na hizo hybrid wazichunguze kabla hazijafika kwa mtumiaji...namfurahia sana mkuu wa nchi anavyokuwa cautious na hii situation..
Ongeza sauti kidogo...mimi nakazia kwenye issue ya lishe hapo..serikali iwe makini pia kwenye mbegu zinazoletwa GMOs na hybrid wasije wakapenyeza watu tukakosa virutubisho stahiki...nina mpongeza sana kiongozi wa nchi anavyokuwa cautious na hii situationKumezuka katabia ka watu kutishia wananchi Kuwa Corona ipo Tanzania utadhani wao wanaumwa Corona au ndugu zao wamekufa kwa CORONA. Watu wamebeba mabango Kuwa serikali inawaficha wagonjwa wa corona. Ukiwauliza wewe unaumwa? Ndugu yako anaumwa hiyo corona? Rafiki yako amekufa kwa corona? Wanabaki kusema watu wanakufa huko kwa Corona.
Niwaambie na kuwashauri Watanzania wenzagu Corona ipo Duniani kama ilivyo Malaria, UKIMWI n.k. Je Wazungu kule kwao Malaria ipo kama ili huku kwetu? Wazungu wanakufa UKIMWI kama tunavyofa Afrika? Kwani kipindi kile watu wanakufa Ebora huko Congo, Uganda n.k Tanzania au USA walikufa?
Hivi Kama Tanzania watu wanakufa kwa UKIMWI na Wazungu hawafi kwa UKIMWI ni dhambi kwa nchi nyingine watu kufa kwa Corona na Tanzania tukabaki salama? Huko kwenu kuna maiti zinaokotwa barabarani Kama walivyotutabilia? Tuache barbaric thinking. Badala ya kumshukuru Mungu Kuwa pamoja na watu huko Duniani kufa kwa corona Mungu umetuepusha na wingu hili tunabaki tunainung'unikia serikali kuwa inaficha utadhani wewe unaumwa na umefichwa! Hapana.
Mungu aliamua kutuachia UKIMWI na ametuepusha na Corona, shida nini? Watanzania tumerogwa na Nani? Inawezekana Tanzania corona ipo, lakini imedhibitiwa na aina ya vyakula tunavyo kula au aina ya maisha tunayoishi. Sasa kwa nini tulazishe tufe kama wanavyokufa wao? Nao Wazungu Mungu amewaepusha na UKIMWI na Malaria.