#COVID19 Corona ni sawa na UKIMWI kwa wazungu, msitutishe!

Point kabisa corona ingekuwa kwetu kama ilivyo kwao Sasa wala wasinge angaika nacc kama ilivyo kua kwenye ebola
 

Ongeza sauti kidogo...mimi nakazia kwenye issue ya lishe hapo..serikali iwe makini pia kwenye mbegu zinazoletwa GMOs na hybrid wasije wakapenyeza watu tukakosa virutubisho stahiki...nina mpongeza sana kiongozi wa nchi anavyokuwa cautious na hii situation
 
Dah atutishe tuna nini kikubwa kwani? Wakati misaada yote inatoka kwakwe
 
Kundi kubwa la wapiga debe wa haya mambo ni walewale waliotoka na kulikimbia BUNGE wakati ule!

Adhabu yao waliyoipata toka kwa wananchi ilikuwa kupigwa chini katika majimbo yote ya uchaguzi nchini.
Sasa wanatumia mbinu hii mpya wakishirikiana na Mabeberu ili kumkwamisha #JPM.

Mabeneru wana hasira na #JPM sababu amewapa kisogo na kuwanyima miradi yote mikubwa kama walivyokuwa wamezowea hapo awali na huku akikataa kuruhusu uchotwaji wa rasilimali zetu.
 
Corona ni moja ya magonjwa Hatari Sana kwa wazungu. Na sisi huku tuna ugonjwa yetu hatari. Km Malaria, kipindupindu, Ukimwi na utapiamlo. TUSIPANGIANE MAISHA. KILA MTU APAMBANE NA HALI YAKE.
 

Mwambie Mkuchika aache dawa za corona kama haipo. Fala wa hedi
 
Tatizo letu ni kuwa na kelele nyingiiii,
lakini kuchukua hatua kwendana na kelele hizo zero!
Kuvaa barakoa tunaopanda basi tunaona noma!
Umefika ofisini mojakwamoja Jamiiforums, "Ooh! watu hawachukui hasta tahadhari kwenye vyombo vya usafiri"
Ni kama mtoto anaewashtaki wenzie wamelamba sukari jikoni kumbe tupunje twa sukari tumenasa juu ya pua yake! Mama anamwangaliaa inabidi aanze kucheka!
Mtoto anaona bonge la ujiko!
 
Weka vizuri mwili wako .korona utaisikia redioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…