#COVID19 Corona ni siasa: Mama Samia kuwa nayo makini

Dikteta kashapotea udongoni
 
Corona imepataje uhai baada tu ya Magufuli kufariki? Gwajima
 
Ikitokea bahati mbaya huyu mama akagombea 2025 basi kwenye majukwaa atumie jina la magufuli kutafuta kura,

Mfano aseme magufuli ni mwalimu wangu, aliyoyafanya naomba niyaendeleze, hapo ataonewa huruma ila hatoshinda.

Ccm ina wenyewe hata hivyo hawezi gombea time will tell.
 
Kwa hiyo wewe unawakana viongozi wa Ccm !!
 
Nani kakwambia kura ndo huwa zinaamua mshindi hapa tanzania. Hata jpm alijialia ashinde kwa asilimia 83 na ikawa hivyo. Kura siyo mwamzi bari tume ndo inaamua impe mgombea wa ccm asilimia ngapi.
 
Mama hawajui vizuri Watanzania, wale wale waliompa JK ushindi wa ya 80& ndo haohao walimkataa yeye na chama chake.

NB; Ungeishia hapo ungeonekana una busara kuliko uongo uliozidisha chini yake. Magufuli hajaisaidia chochote CCM zaidi ya kukigeuza kuwa chama dola kamili, kikipora na kutesa watu. Kikiiba kura hadharani na huku kikiacha mpasuko ndani kwa ndani. Kutuambia CCM ya Magufuli ni mpya ni sahihi, ila si chama cha siasa tena bali kundi la wanyang'anyi.
 
Swali la kihanithi kabisa hili
Tena lenye mantiki.

Mmeikaribisha kwa mikono yote miwili ije Tanzania, mmeipet pet we corona, mara oh mbona hatuvai mask kama wakenya, mbona hatuendi lockdown, mbona hatuleti chanjo, mbona mbona kibao, na yenyewe haina shida, ukiikaribisha imekaribia.

Namshangaa mama kwanini hatangazi lockdown waliyokuwa wanaitaka.
Afunge na makanisa na misikiti.

"Mtanikumbuka" - JPM.
 
Corona ni aina gani ya siasa?
Corona ni ugonjwa na utabaki hivyo. Wewe na Mwendazake na kundi lenu ndo mlioikabili Corona kisiasa badala ya kitabibu na ikawaonesha uwezo wake.
 
Je Corona ipo Tanzania au haipo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Hili wimbi la corona mama kaliingia vibaya, kumzoazoa ni lazima! Kosa lake ni kung'oa nanga ya bingwa shujaa Mh. Dr. JPM (may his precious soul rest in eternal peace and power, 🙏)
 
Hili wimbi la corona mama kaliingia vibaya, kumzoazoa ni lazima! Kosa lake ni kung'oa nanga ya mbingu shujaa Mh. Dr. JPM (may his precious soul rest in eternal peace and power, [emoji120])
Nyie wake za mwendazake mmezidisha sifa juu yake Sasa[emoji34][emoji34]

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…