#COVID19 Corona ni siasa: Mama Samia kuwa nayo makini

#COVID19 Corona ni siasa: Mama Samia kuwa nayo makini

Mama hawajui vizuri Watanzania, wale wale waliompa JK ushindi wa ya 80& ndo haohao walimkataa yeye na chama chake Magufuli akakiokoa mdomoni mwa Simba.

Kujitenga na msimamo wa JPM ni kujitenga na CCM mpya iliyozaliwa na Magufuli,na kurudisha CCM ya Kikwete.

2025 majibu yatatoka.
Dikteta kashapotea udongoni
 
ICU Dar, za hospitali kubwa zote zimejaa wagonjwa wa Covid 19, kiasi kwamba sasa hivi wagonjwa waliostahili kuwa ICU wanawekwa wodi za kawaida. Hali ni hiyo hiyo kwenye hospitali za rufaa za Mbeya, KCMC na Bugando.

Idadi ya wanaofariki kwa Covid 19 inazidi kupaa, halafu wewe kwa ujinga tu unasema eti Covid 19 ni siasa. Tuna watu wanaojua tu kusoma, kuandika na kuhesabu, lakini obervation, analysis ni zero.
Corona imepataje uhai baada tu ya Magufuli kufariki? Gwajima
 
Ikitokea bahati mbaya huyu mama akagombea 2025 basi kwenye majukwaa atumie jina la magufuli kutafuta kura,

Mfano aseme magufuli ni mwalimu wangu, aliyoyafanya naomba niyaendeleze, hapo ataonewa huruma ila hatoshinda.

Ccm ina wenyewe hata hivyo hawezi gombea time will tell.
 
Ila Tanzania bwana[emoji23], huenda hapo ulipo huna lolote la maana na pengine labda hata kwenye ukoo wako ni mtu unaetumwa kunawisha watu mikono wakati wa vikao, ila upo hapa kuandika ukichaa wa mtu ambae mpaka unakufa huwezi kuingilia legacy yake.

Kwa level kubwa aliyokuwa amefikia ndani ya hilo Taifa,kamakweli alikuwa na kichaa Basi wewe ni Tutusa,kiazi,tahira,mavi kabisa.
Kwa hiyo wewe unawakana viongozi wa Ccm !!
 
Mama hawajui vizuri Watanzania, wale wale waliompa JK ushindi wa ya 80& ndo haohao walimkataa yeye na chama chake Magufuli akakiokoa mdomoni mwa Simba.

Kujitenga na msimamo wa JPM ni kujitenga na CCM mpya iliyozaliwa na Magufuli,na kurudisha CCM ya Kikwete.

2025 majibu yatatoka.
Nani kakwambia kura ndo huwa zinaamua mshindi hapa tanzania. Hata jpm alijialia ashinde kwa asilimia 83 na ikawa hivyo. Kura siyo mwamzi bari tume ndo inaamua impe mgombea wa ccm asilimia ngapi.
 
Mama hawajui vizuri Watanzania, wale wale waliompa JK ushindi wa ya 80& ndo haohao walimkataa yeye na chama chake.

NB; Ungeishia hapo ungeonekana una busara kuliko uongo uliozidisha chini yake. Magufuli hajaisaidia chochote CCM zaidi ya kukigeuza kuwa chama dola kamili, kikipora na kutesa watu. Kikiiba kura hadharani na huku kikiacha mpasuko ndani kwa ndani. Kutuambia CCM ya Magufuli ni mpya ni sahihi, ila si chama cha siasa tena bali kundi la wanyang'anyi.
 
Swali la kihanithi kabisa hili
Tena lenye mantiki.

Mmeikaribisha kwa mikono yote miwili ije Tanzania, mmeipet pet we corona, mara oh mbona hatuvai mask kama wakenya, mbona hatuendi lockdown, mbona hatuleti chanjo, mbona mbona kibao, na yenyewe haina shida, ukiikaribisha imekaribia.

Namshangaa mama kwanini hatangazi lockdown waliyokuwa wanaitaka.
Afunge na makanisa na misikiti.

"Mtanikumbuka" - JPM.
 
Mwaka jana 2020 tuliona Corona ilivyowasumbua marais wengi duniani kisiasa. Championi wa Corona alikuwa Donald Trump's na Dr Magufuli.

Trump alipoteza Urais baada ya wapinzani kumzidi nguvu kuhusu Corona. Dr Magufuli aliwashinda wapinzani katika mapambano ya siasa ya Corona leo Mbowe hata barakoa havai na mikusanyiko kwake ni kawaida tu.

Sasa naona siasa kati ya Askofu Gwajima na sisi wafuasi wake KIMTAZAMO kuhusu Corona dhidi ya Mama na wafuasi wake.

Tuone tutaendaje mbele.
Corona ni aina gani ya siasa?
Corona ni ugonjwa na utabaki hivyo. Wewe na Mwendazake na kundi lenu ndo mlioikabili Corona kisiasa badala ya kitabibu na ikawaonesha uwezo wake.
 
Tena lenye mantiki.

Mmeikaribisha kwa mikono yote miwili ije Tanzania, mmeipet pet we corona, mara oh mbona hatuvai mask kama wakenya, mbona hatuendi lockdown, mbona hatuleti chanjo, mbona mbona kibao, na yenyewe haina shida, ukiikaribisha imekaribia.

Namshangaa mama kwanini hatangazi lockdown waliyokuwa wanaitaka.
Afunge na makanisa na misikiti.

"Mtanikumbuka" - JPM.
Je Corona ipo Tanzania au haipo?
 
Ila Tanzania bwana[emoji23], huenda hapo ulipo huna lolote la maana na pengine labda hata kwenye ukoo wako ni mtu unaetumwa kunawisha watu mikono wakati wa vikao, ila upo hapa kuandika ukichaa wa mtu ambae mpaka unakufa huwezi kuingilia legacy yake.

Kwa level kubwa aliyokuwa amefikia ndani ya hilo Taifa,kamakweli alikuwa na kichaa Basi wewe ni Tutusa,kiazi,tahira,mavi kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Mwaka jana 2020 tuliona Corona ilivyowasumbua marais wengi duniani kisiasa. Championi wa Corona alikuwa Donald Trump's na Dr Magufuli.

Trump alipoteza Urais baada ya wapinzani kumzidi nguvu kuhusu Corona. Dr Magufuli aliwashinda wapinzani katika mapambano ya siasa ya Corona leo Mbowe hata barakoa havai na mikusanyiko kwake ni kawaida tu.

Sasa naona siasa kati ya Askofu Gwajima na sisi wafuasi wake KIMTAZAMO kuhusu Corona dhidi ya Mama na wafuasi wake.

Tuone tutaendaje mbele.
Hili wimbi la corona mama kaliingia vibaya, kumzoazoa ni lazima! Kosa lake ni kung'oa nanga ya bingwa shujaa Mh. Dr. JPM (may his precious soul rest in eternal peace and power, 🙏)
 
Hili wimbi la corona mama kaliingia vibaya, kumzoazoa ni lazima! Kosa lake ni kung'oa nanga ya mbingu shujaa Mh. Dr. JPM (may his precious soul rest in eternal peace and power, [emoji120])
Nyie wake za mwendazake mmezidisha sifa juu yake Sasa[emoji34][emoji34]

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom