BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,554
- 9,247
Nitaamini Corona imepungua ama imekwisha kabisa endapo tu kila familia itapimwa, au kila anaejihisi ana corona ajitokeze akapime na wakati huo anapaswa kujitenga huku akisubiri majibu na statistics ziwekwe wazi ili watu wawe na tahadhari na waweze kujilinda zaidi...but mkisema corona imekwisha, je kithibitisho kiko wapi? Na wafuata mkumbo humu huwa hawakosekani wako wengi sasa sijajua ni njaa inawasumbua inawafanya walazimishe watu waamini kuwa gonjwa limepungua/meisha!!!