BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,554
- 9,247
Nitaamini Corona imepungua ama imekwisha kabisa endapo tu kila familia itapimwa, au kila anaejihisi ana corona ajitokeze akapime na wakati huo anapaswa kujitenga huku akisubiri majibu na statistics ziwekwe wazi ili watu wawe na tahadhari na waweze kujilinda zaidi...but mkisema corona imekwisha, je kithibitisho kiko wapi? Na wafuata mkumbo humu huwa hawakosekani wako wengi sasa sijajua ni njaa inawasumbua inawafanya walazimishe watu waamini kuwa gonjwa limepungua/meisha!!!
Unapoteza tu MUDA.[emoji124][emoji124][emoji124]
Mkuu usikonde. Niko gengeni tu hapa biashara ya matikiti inakwenda pole pole. Niko na muda mwingi tu. Isikupe taabu.
Vipi pande za huko matunda yapi yanatoka zaidi? Kunde, mbaazi, njegere, maharagwe mabichi, makavu dili linaangukia wapi?
Wakati tunachapa kazi kweli kweli kwa kuitikia wito wa rais wetu mpendwa kama anavyosema mwenyewe, si mbaya nasi tukakumbushana kuwa huyu mbaya wetu Corona yungalipo.
Maji tiririka na kasabuni. Kabarakoa hata kama ka mwembeni na kuepuka safari zisizo za lazima.
Uhai si wa kufanyia ajizi.
Au sivyo mkuu?
Chifu.... We are ahead of th game... Stop whining
Wewe ndo utasababisha corona irudi tena.
Mkuu hujanipa mrejesho:
"Vipi pande za kwako huko matunda yapi yanatoka zaidi? Kunde, mbaazi, njegere, maharagwe mabichi, makavu dili linaangukia wapi?"
Sisi sote ni ndugu (moja ya imani zetu CCM). Undugu si kufanana bali kufaana.
Mrejesho wa biashara pia tafadhali.
Mrejesho ni kwamba NO LOCKDOWN.
Sawa mkuu. Wewe kula peke yako. Bali uchoyo huo mkuu.
Ila usisahau kunawa mikono mkuu yule mwana kharamu yungalipo.
hakuna corona Tanzania wewe ndo bado upo wakati uliopita.
Nyie ndio hovyo hovyo ya nchi hii ili mradi matumbo yenu yajae.Mh. Magufuli, Ummy, Majaliwa na wote wanasema yungalipo. Wewe ndiyo unasema hamna? Huwajui wenye haki ya takwimu?
Au nyie ndiyo wale mnaotugawia zile barakoa batili mkuu?
Mwogopeni mola jamani.
Mh. Magufuli, Ummy, Majaliwa na wote wanasema yungalipo. Wewe ndiyo unasema hamna? Huwajui wenye haki ya takwimu?
Au nyie ndiyo wale mnaotugawia zile barakoa batili mkuu?
Mwogopeni mola jamani.
Corona ipo ila maisha yanaendelea kama kawaida na hilo ndio la msingi, majirani zetu wanapimana na kuweka lockdown ila sioni kama imewafanya kuwa na utofauti na sisi.Nitaamini Corona imepungua ama imekwisha kabisa endapo tu kila familia itapimwa, au kila anaejihisi ana corona ajitokeze akapime na wakati huo anapaswa kujitenga huku akisubiri majibu na statistics ziwekwe wazi ili watu wawe na tahadhari na waweze kujilinda zaidi...but mkisema corona imekwisha, je kithibitisho kiko wapi? Na wafuata mkumbo humu huwa hawakosekani wako wengi sasa sijajua ni njaa inawasumbua inawafanya walazimishe watu waamini kuwa gonjwa limepungua/meisha!!!
Corona ipo ila maisha yanaendelea kama kawaida na hilo ndio la msingi, majirani zetu wanapimana na kuweka lockdown ila sioni kama imewafanya kuwa na utofauti na sisi.
Lockdown napinga kabisa...ila wananchi wengi walivyo maboya, tangu watangaziwe korona imepungua/imekwisha wamepuuza masharti, huku nilipo mijitu haina barakoa, hainawi, inapeana mikono kama kawaida, mikusanyiko ndio usiseme...Magufuli hataki lockdown anajua fiika italeta athari kubwa uchumi wa nchi utayumba, na hapo hapo serikali yetu inategemea kodi za wananchi...watu pia watakufa njaa..Magu yuko sahihi...tatizo lipo kwetu kamanda, tulipoambiwa corona imepungua sio kwamba ndio tusiendelee kufuata masharti, la hashaa...masharti yaendelee kama kawaida.
UNAWEZA ukasema kuna wagonjwa wangapi na marehemu wangapi wa corona Tanzania?
The bug is everywhereCity ... I wish to God .... we were. I hesitate to be the first or the second in the row, to insult my own intelligence.
Chifu ... the bug is still around, roaming freely and yet untamed.