Corona: Ni wajibu wa Serikali kutupa majibu sahihi

Watu tumeshaachana na corona
Nchi nyingi duniani kuna maandamano kupinga ubaguzi wa rangi bila kujali lockdown. Hata kwenye vyombo vya habari kama France 24 COVID 19 siyo habari ya kwanza kama ilivyo kuwa siku za nyuma
 
Unaweza kuelezea vp hali ya corona kwa Tanzania kwamba ilikuaje before hilo tangazo la kupungua au kuisha?
 
Mkuu ukiangalia kinachoendelea marekani sasa kinashangaza maana wao ndio huongoza kwa idadi ya vifo na maambukizi ya corona ila ajabu watu wako nje wanaandamana bila barakoa wala tahadhari yeyote ya kujikinga na corona.
 
Ajabu sana kamanda, mpaka leo hii idadi inaongezeka, imefikia113,061...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…