- Thread starter
- #141
Kwani mimi nafanyanya kazi ya kuthibitisha accounts za watu, Mkuu vipi?
Ni kweri huthibitishi accounts za watu ila wewe unaokota okota utopolo wowote na kuusambaza bila ya kuwa na uhakika wowote?
Huoni hiyo ni hatari sana mkuu? Vipi siku utakapokuta account fake yenye taarifa za uongo kukuhusisha wewe mwenyewe mkuu?
😂😂😂😂😂😂😂
Hiiiiii kweli kazi yako si kuthibitisha account za watu bila shaka utatuambia wamesema ati kumbe wewe ni mtoto wa punda.