Corona: Rais Kenyatta katika ubora wake na funzo jingine kwetu

Corona: Rais Kenyatta katika ubora wake na funzo jingine kwetu

Dada wa taifa nae sindano ya chanjo kachoma mkono wa kushoto ila plasta kawekwa mkono wa kulia.
20210328_124422.jpg
20210328_123857.jpg
 
Dada wa taifa nae sindano ya chanjo kachoma mkono wa kushoto ila plasta kawekwa mkono wa kulia.View attachment 1736558View attachment 1736559
Mkuu nafikiri umeshindwa kutofautisha maana hizo ni picha mbili zilizopigwa na simu moja kwa kamera tofauti, ya kwanza kapigwa kwa kamera ya nyuma ya simu na ya pili kachukua selfii kwa kamera ya mbele so lazima udhani unachokifikiri
 
Hiyo hoja hata yeye kajitetea hivyo hivyo kama ulivyosema ila watu tumejaribu hiyo selfii hatujakutana na hicho unachokisema.
 
Habari mbaya sana hii kwa mijamaa fulani ambayo kwa kujikatia tamaa kwayo au umbumbu wayo iko radhi tufe wote.

Haina tofauti na mi suicide bomber au ile mijamaa ya ISIS au ile ya kujitoa muhanga mi suicide bombers.

Kwamba haina cha kupoteza Shwain kabisa!
Sasa hii dawa itakuwa inawekwa kwa kupitia kwenye pua kama bupiji

Skip to content
sky news logo
Menu

Researchers believe an intranasal spray device could be preferential to the jab - and could therefore promote higher uptake.
Thursday 25 March 2021 21:46, UK
nasal spray

Image:The device will be similar to over-the-counter nasal sprays
Why you can trust Sky News
Scientists are planning to test the effectiveness of the Oxford-AstraZeneca coronavirus vaccine when it's administered using a nasal spray.
The University of Oxford is recruiting 30 healthy volunteers aged 18 to 40 who will receive the vaccine via an intranasal spray device - unlike the intramuscular injection given in the national rollout.
Sponsored link

Nitrile Gloves Overstock!Nitrile Gloves Overstock!www.medical-and-lab-supplies.com

Similar to over-the-counter hay fever nasal sprays, scientists believe it could encourage more people to get inoculated.
Live COVID updates from across the UK and around the world
"There are a variety of people who will find an intranasal delivery system more appealing, which may mean vaccine uptake is higher in those groups," said Dr Sandy Douglas, who is leading the study.

Advertisement
"It might also have practical advantages - nasal sprays have been used successfully for other vaccines, for example the flu vaccine used in UK schools."

As part of the study, the researchers will examine the level of immune response when administering the shot through the nose, as well as monitoring the safety of this method and any adverse reactions.

More from Covid-19​

  • COVID news live - UK latest as England’s lockdown eased under next step of Boris Johnson’s roadmap​

  • COVID-19: New government advert warns people not to meet indoors despite lockdown easing​

  • Has the COVID pandemic taught us about happiness?​

  • COVID-19: Mexico underreported coronavirus deaths by 60% - toll now stands at 321,000​

  • COVID-19: Outdoor get-togethers and sport resume in England - but PM warns 'we must be cautious'​

  • COVID-19: Vladimir Putin says he felt 'slight pain' after getting COVID jab​

"Some immunologists believe that delivering the vaccine to the site of infection may achieve enhanced protection, especially against transmission, and mild disease," said Dr Douglas.
A member of the public is given their first vaccine jab at Edinburgh's Western General Hospital (file pic)

Image:Vaccines so far have been delivered as an intramusclar injection (file pic)
Meanwhile, Dr Meera Madhavan, the lead clinical research fellow at the Jenner Institute, said: "This study will help us to understand the safety and side-effects associated with giving the Oxford-AstraZeneca COVID-19 vaccine by nasal spray.
"It is an important first step towards increasing our range of options for curtailing the spread and impact of
 
Mabibi na mabwana huyu ndiye aliye tutoa ushamba pale Dodoma majuzi:

View attachment 1735617

Nafasi hizi za kujifunza huwa haziko siku zote.

Janga hili linahitaji jitihada za makusudi sana na hasa kutokea juu.

Eeh mola wetu umjalie mama Samia hekima ya kutambua kwanini umempa wadhifa huu sasa.

Bila shaka huyu ndiye Joshua atakaye tufikisha Canaan hatimaye.

Eeh mola wetu ukazisikie Dua zetu.
sasa anaingiliaje faragha za watu, kwa hiyo huo sio udikteta, chadema ni wagonjwa kweli mnahitaji tiba mbadala
 
Mabibi na mabwana huyu ndiye aliye tutoa ushamba pale Dodoma majuzi:

View attachment 1735617

Nafasi hizi za kujifunza huwa haziko siku zote.

Janga hili linahitaji jitihada za makusudi sana na hasa kutokea juu.

Eeh mola wetu umjalie mama Samia hekima ya kutambua kwanini umempa wadhifa huu sasa.

Bila shaka huyu ndiye Joshua atakaye tufikisha Canaan hatimaye.

Eeh mola wetu ukazisikie Dua zetu.
tapatalk_905818153.jpg
 
Na CHARLES WASONGA

KENYA imeungana na mataifa mengine ulimwenguni ambayo yameripoti athari za chanjo aina ya AstraZeneca inayolenga kuzuia maambukizi wa virusi vya corona.

Hii ni baada ya Waziri Msaidizi wa Afya Rashid Aman Alhamisi kufichua kuwa Bodi ya Dawa na Sumu Nchini (KPPB) wakati huu inachunguza visa saba vilivyoripotiwa vya watu waliopata chanjo kupata madhara mabaya.

Alisema visa hivyo saba ni miongoni mwa jumla ya visa 263 vilivyoripotiwa kutoka sehemu mbali nchini.
Hata hivyo, Dkt Aman hakutoa maelezo zaidi kuhusu visa hivyo vya madhara ya AstraZeneca vinavyochunguzwa akiahidi kufanya hivyo baadaye juma lijalo.

“Ni kweli kwamba bodi ya dawa nchini inachunguzwa visa saba miongoni mwa visa 263 kuhusu madhara ya chanjo ya AstraZeneca vilivyoripotiwa. Wizara ya Afya kwa ushirikiano na bodi hiyo zitatoa maelezo zaidi kuhusu suala hilo wiki ijayo. Hata hivyo, hamna sababu ya Wakenya kuingiwa na hofu kwa sababu nyingi za madhara hizo ni ya kawaida kama kupanda kwa joto mwili na maumivu ya mwili,” akawaambia wanahabari katika makao makuu ya Wizara ya Afya, Jumba la Afya, Nairobi.
Mataifa kadhaa katika bara Uropa yamesitisha shughuli ya utoaji chanjo ya AstraZeneca baada ya visa kadha vya watu kuganda damu, na hata kufariki, kugunduliwa.

Kufikia Alhamisi jumla ya watu 196,435 nchini walikuwa wamepokea chanjo hiyo wengi wakiwa wahudumu wa afya, maafisa wa usalama na walimu.
Baadaye kwenye kikao na wanahabari katika Ikulu ya Nairobi, Rais Uhuru Kenyatta alisema kuwa Kenya inashirikiana na washirika wengine duniani kuhakikisha kuwa imepokea chanjo zaidi kuweza kutosheleza mahitaji ya wananchi.
Kulingana na makadirio ya Wizara ya Afya, kufikia Juni, mwaka ujao serikali inakisia kuwa jumla ya Wakenya 26 milioni watakuwa wamepokea chanjo dhidi ya corona.
 
Hatutakaa tupokee chanjo za Corona kama unataka nenda Kenya ukachanjwe, usifikiri watanzania wote ni WAPUMBAVU kama wewe.

Nitajitolea kuchanjwa ili wajing a kama wewe mpate kuishi maisha marefu. Uliaminishwa corona ilikuja na kuua na kuuguza watu. Ukaaminishwa corona iliombewa na kuondoka zake. Bado hujaaminishwa ipo tena lakini unaambiwa nawa maji tiririka, vaa barakoa ya hapa nyumbani, na epuka mikusanyiko. Na unaamini unaambiwa hayo kwa sababu kuna kipindupindu.

Adui ujing a amekukamata kisawasawa. Nitachanjwa ili nitumike katika tafiti zitakazokusaidia.
 
Kuwa na mizigo minne, sio suala la mchezo mchezo hata kama hunywi maji ya ilala au machinjioni .
Hivyo juhudi lazima zichukuliwe kujihami wewe mwenyewe na jamii inayokuhusu

Hakuna asiyejihami yeye na wanaomhusu katika hali ya kawaida ila:

IMG_20210214_214251_251.jpg

Hiiiiii bagosha!
 
Nitajitolea kuchanjwa ili wajing a kama wewe mpate kuishi maisha marefu. Uliaminishwa corona ilikuja na kuua na kuuguza watu. Ukaaminishwa corona iliombewa na kuondoka zake. Bado hujaaminishwa ipo tena lakini unaambiwa nawa maji tiririka, vaa barakoa ya hapa nyumbani, na epuka mikusanyiko. Na unaamini unaambiwa hayo kwa sababu kuna kipindupindu.

Adui ujing a amekukamata kisawasawa. Nitachanjwa ili nitumike katika tafiti zitakazokusaidia.
Nenda kachanjwe hapo Kenya Basi. K wewe....
 
Nitajitolea kuchanjwa ili wajing a kama wewe mpate kuishi maisha marefu. Uliaminishwa corona ilikuja na kuua na kuuguza watu. Ukaaminishwa corona iliombewa na kuondoka zake. Bado hujaaminishwa ipo tena lakini unaambiwa nawa maji tiririka, vaa barakoa ya hapa nyumbani, na epuka mikusanyiko. Na unaamini unaambiwa hayo kwa sababu kuna kipindupindu.

Adui ujing a amekukamata kisawasawa. Nitachanjwa ili nitumike katika tafiti zitakazokusaidia.
Na CHARLES WASONGA

KENYA imeungana na mataifa mengine ulimwenguni ambayo yameripoti athari za chanjo aina ya AstraZeneca inayolenga kuzuia maambukizi wa virusi vya corona.
 
Watu saba wamefariki nchini Uingereza kutokana na damu kuganda mwilini baada ya kupewa chanjo ya Oxford-AstraZeneca, mamlaka ya kudhibiti dawa imethibitishia BBC.

Hadi sasa zaidi ya watu 32m wamechanjwa kwa kutumia AstraZeneca UK peke yake.

Watu 7 katika 32m ni 0.000022%. Hata kama ni failure basi failure rate hii ni more than justifiable.

Ikumbukwe pia kuwa, bado haupo ushahidi kuwa failure rate hii inasababishwa na chanjo hii.

Hivi by the way: nyungu, maombi, bupeji, covidol, nimricaf au yale mambo yetu na Prof kabudi ya kule Madagascar yako na data zipi hata za kutupia macho tu?

Ukweli mchungu hatunao ubavu wa ku discredit chanjo hizi za beberu achilia mbali kujaribu kuzibeza.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Any data to confirm kwamba watu 32m wamechanjwa na disaster in only 7 kwa UK.
Secondly Germany have also stopped using Astrazenca , wana negotiate na Urusi for spatnuk
 
Any data to confirm kwamba watu 32m wamechanjwa na disaster in only 7

Nisome vyema kutambua nini nimeandika na kutokea wapi. Usikurupuke!

This is AstraZeneca success story in the UK.

Familiarize yourself thoroughly with the statements.

See where the said 7 cases sprang from. Noting "... even if there has been 7cases of failure ..." forms part of my argument.
 
Una uthibitisho upu kuwa uliyoattach inatoka kwenye account sahihi ya Uhuru Kenyatta rais wa jamhuri ya Kenya?
Kwani mimi nafanyanya kazi ya kuthibitisha accounts za watu, Mkuu vipi?
 
Back
Top Bottom