Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu wasipotamka corona hawapati usingizi.
picha sioniJipatie muda wa kufuatilia mambo mkuu.
Vinginevyo utaingizwa sana mjini kama ilivyo kuwa na wapiga nyungu uchwara hawa:
View attachment 1736013
I wish hiyo chanjo ifike bongo as soon as possible mi nipigwe fasta nikae kwa Aman........ambao hamuitaki ruksa kubaki nyumbani
picha sioni
mi nataka majibu kutoka kwako mkuu
unaonekana una uelewa huo
Mi nilipokuja kugundua kuwa huyu jamaa sio mzima ni mwaka jana wakati wa kampeni hadi uchaguzi aliacha kuzungumzia corona kabisa n kuanza na kusifia nyomi za watu kwenye kampeni hakuongelea hata mara moja corona hadi uchaguzi ulipoisha ndio akarudia kuzungumzia corona.Mkuu huyu chizi ni wa kumhurumia tu. Huwa hana fikra nyingine kichwani mwake zaidi ya Corona. Anatamani watu wakae wanaimba Corona tu. Uzuri watu wameshamuona kama chizi na Corona zake.
Hivi ni wewe yule uliyejinasibu kama mwanasayansi? Tz kweli kuna watu na viatu!Safi Sana! Tutaangalia madhara ya chanjo kwa majirani zetu hawa!! Baada ya miaka miwili kama hawajapata dhara lolote na sisi ndipo tutakapofikiria kuagiza chanjo!!
Nielekeze pa kuzipata mi mgeni wa dunia mwenzioMiye siyo Yesu Kristo wa kukutafutia wewe taarifa zote sahihi kwa ajili ya maisha yako.
Kama muda huna wasikilize wapiga nyungu. Ila Manju wao ndiyo huyu hapa:
View attachment 1736039
Au nasema uongo ndugu zangu?
Nielekeze pa kuzipata mi mgeni wa dunia mwenzio
Haka kajamaa kaleta mada kaiogopa corona vibaya mno!
Binafsi ningekua na mpunga wa kutosha ningeifata hii chanjo popote ilipo nichome niishi kwa Aman na furahaKuna mijamaa imeshupaa eti na wengine tusichanjwe kwa vile tu yenyewe imejikatia tamaa na maisha au tu kwa umbumbu wao.
Iko kama ile miuwaji ya kujitoa muhanga.
Si hata ikajinyonge tu kama imechoka kuishi?
Death is inevitable, kifo hakiepukiki, uwe na chanjo, usiwe na chanjo, siku zako za kuishi zikiisha utakufa tu mjomba.
Covid-19 isn't the only disease that kills, due statistics from Johns Hopkins University, only 3% of patients contacted the CoronaVirus dies.
Mjomba, hiyo namba ni ndogo sana ukilinganisha na idadi ya watu wanaokufa kwa "Malaria" duniani.
Safi Kenya,gongweni chanjo,gongweni mwanzo mwisho.
Kama zipo za kutosha alikeni pia na wabongo wanaotaka kugongwa chanjo waje uko muwagonge.
Jana hiyo.View attachment 1736069Miye siyo Yesu Kristo wa kukutafutia wewe taarifa zote sahihi kwa ajili ya maisha yako.
Kama muda huna wasikilize wapiga nyungu. Ila Manju wao ndiyo huyu hapa:
View attachment 1736039
Au nasema uongo ndugu zangu?
Binafsi ningekua na mpunga wa kutosha ningeifata hii chanjo popote ilipo nichome niishi kwa Aman na furaha
Kwaiyo wabongo viherehere wa kugongwa chanjo watakosa,hata kidogo tu wongwe na wao wapate raha?Wameshasema hawana za kuwatosha wao wenyewe hivyo ulichoandika ni bora ungeacha tu. Hakuna jipya humo.
Kwaiyo wabongo viherehere wa kugongwa chanjo watakosa,hata kidogo tu wongwe na wao wapate raha?
Swali lako la mfano aliendani!Hata watu wote wakifa iliwahi mfikirisha suicide bomber?
Swali lako la mfano aliendani!
Kenya wakiona mtz anafata chanjo uko,fukuza kabisa kama mbwa koko.
Wenyewe azijawatosha alafu wanaleta jamu uko.