Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wajinga kabisa mkuu. Aliyekuwa kwenye usukukani alibisha kiko wapi sasa. Ukihesabu watu walipotoza maisha kwa corona Tanzania ni wengi sana. Ile wave ya kwanza tu iliua watu wengi. Hii ya pili ndiyo kabisa imeenda na mwenye nchi aliyekuwa hataki kusikiliza ushauri. Nihasara nchi kuongozwa na watu wasioelimika na wabishi kama hawa.Hii mijamaa ikikuelewa:
View attachment 1735757
usiache kuni tag mkuu.
Iko radhi tufe wote. Option ya kuwa achanjwe japo anayetaka bado haiitaki.
Haina tofauti na mi suicide bomber!
Ni wajinga kabisa mkuu. Aliyekuwa kwenye usukukani alibisha kiko wapi sasa. Ukihesabu watu walipotoza maisha kwa corona Tanzania ni wengi sana. Ile wave ya kwanza tu iliua watu wengi. Hii ya pili ndiyo kabisa imeenda na mwenye nchi aliyekuwa hataki kusikiliza ushauri. Nihasara nchi kuongozwa na watu wasioelimika na wabishi kama hawa.
Unaonekana huna kazi unashinda unaokoteza upumbavu wowote kuhusu Corona, mbona huleti taarifa za nchi kibao za ulaya kusitisha chanjo ya Corona jinsi usivyo na akili!???... Nakuhakikishia story za Corona ndo zimeshaenda na upepo, jiandae kukosa story za kuleta kuhusu Corona. Utajikuta unagongewa mpaka mke kisa kuiwaza CORONA.
Magu aliishupalia corona ikamshusha mavumbini haraka
Moto ni uleule tu nyinyi mtakufa na stress tu. Sisi tunaendelea mbele tu.To be honest, jambo la kusikitisha sana. Wenziwe hawa hapa:
View attachment 1735764
Sasa hayupo wanachanganya humo na za kwao.
Death is inevitable, kifo hakiepukiki, uwe na chanjo, usiwe na chanjo, siku zako za kuishi zikiisha utakufa tu mjomba.Hii mijamaa ikikuelewa:
View attachment 1735757
usiache kuni tag mkuu.
Iko radhi tufe wote. Option ya kuwa achanjwe japo anayetaka bado haiitaki.
Haina tofauti na mi suicide bomber!
Mkuu huyo hawezi kukuelewa akili yake ni ya kuvukia barabara tu!Death is inevitable, kifo hakiepukiki, uwe na chanjo, usiwe na chanjo, siku zako za kuishi zikiisha utakufa tu mjomba.
Covid-19 isn't the only disease that kills, due statistics from Johns Hopkins University, only 3% of patients contacted the CoronaVirus dies.
Mjomba, hiyo namba ni ndogo sana ukilinganisha na idadi ya watu wanaokufa kwa "Malaria" duniani.
Brazaj vipi unaweza fanya fasta tuko Namanga hapa tunakusubiri twende tukachanje, usiandike tuu, chukua hatua, lini unaingia hapa tuingie NairobberyMabibi na mabwana huyu ndiye aliye tutoa ushamba pale Dodoma majuzi:
View attachment 1735617
Nafasi hizi za kujifunza huwa haziko siku zote.
Janga hili linahitaji jitihada za makusudi sana na hasa kutokea juu.
Eeh mola wetu umjalie mama Samia hekima ya kutambua kwanini umempa wadhifa huu sasa.
Bila shaka huyu ndiye Joshua atakaye tufikisha Canaan hatimaye.
Eeh mola wetu ukazisikie Dua zetu.
Death is inevitable, kifo hakiepukiki, uwe na chanjo, usiwe na chanjo, siku zako za kuishi zikiisha utakufa tu mjomba.
Covid-19 isn't the only disease that kills, due statistics from Johns Hopkins University, only 3% of patients contacted the CoronaVirus dies.
Mjomba, hiyo namba ni ndogo sana ukilinganisha na idadi ya watu wanaokufa kwa "Malaria" duniani.
Brazaj
Brazaj vipi unaweza fanya fasta tuko Namanga hapa tunakusubiri twende tukachanje, usiandike tuu, chukua hatua, lini unaingia hapa tuingie Nairobbery
Si omba urai wa kenya na wewe ukapate chanjo
Mkuu huyo hawezi kukuelewa akili yake ni ya kuvukia barabara tu!
Aiseee nilifikiri uko serious na hii issue ya chanjo, kumbe umeanzisha thread ili ufanye utani, basi endelea na jokes za hii thread yako ya kimagumashi!Kwa taarifa yako haipo nchi yenye kujitosheleza kwa chanjo duniani kiasi cha kumpa raia yeyote wa kigeni kabla ya wenyeji kupata.
No wonder uko nanyamba na sasa unajidhania uko namanga.
Wewe endelea tu kunyamba huko huna lolote achilia mbali unalo lijua jombi.
Au nasema uongo ndugu zangu?