Corona: Rais Kenyatta katika ubora wake na funzo jingine kwetu

Corona: Rais Kenyatta katika ubora wake na funzo jingine kwetu

Safi Sana! Tutaangalia madhara ya chanjo kwa majirani zetu hawa!! Baada ya miaka miwili kama hawajapata dhara lolote na sisi ndipo tutakapofikiria kuagiza chanjo!!

Hayupo ajuaye unapokuwa mbinguni uelekeo wa kuangalia huwa upi na hata kama huwa unaendelea kuangalia tena duniani bado.

Hivyo usijipe sana moyo kuwa una wa kuangalia au vipi jombi?
 
Unajua utata wa hii chanjo upo kwenye wale waliochanja bado kuogopa kuambukizwa Corona, hapo ndiyo utata huja,

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani wewe huogopi kuambukizwa TB, polio au hata ndui iliyokwisha futika?

Kwani ni hii tu ambayo unashauriwa kuchukua tahadhari hata kama umeshachanjwa?
 
Wewe unajuaje kama kadungwa chanjo alisi na si placebo? Viongozi wengi wamefanya usanii huo kuwazuga raia ili wakubali kuchanjwa - hakuna kiongozi mwenye akili timamu anaye weza kukubali yeye na familia yake kukubali kudungwa chanjo ambazo madhara yake haya eleweki eleweki, wengine wana end up na damu kuganda wengine wana ambukizwa virusi vya corona kupitia kwenye chanjo hizo.
 
Kwani wewe unajuaje hajadungwa yenyewe?

Kwani wewe ni yeye au mdungaji wake?

Yeye kasema kachanjwa una uhalali gani wewe wa kubisha hilo?

Mbona kazi ipo?
 
Uko obsessed na corona, fanya kulala nayo kabisa.
 
Hatutakaa tupokee chanjo za Corona kama unataka nenda Kenya ukachanjwe, usifikiri watanzania wote ni WAPUMBAVU kama wewe.

Wewe ni VP mpya?

Bila kujitambulisha wewe ni nani kwa hakika hauwezi kuwapo upuuzi mwingine zaidi huu unaoandika!

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Chanjo ya Covid-19 itakuwa na madhara makubwa kiafya kwa wote watakaochanjwa. Madhara yake yataanza kuonekana baada ya miezi 6 mpaka 9 kwa wahanga.

Hata hao Wazungu wanaoujua ukweli wanaiogopa hiyo chanjo kuliko "ukoma".
Tegeni sikio, mtakuja niambia.
 
Tofautisha wazungu na wataalamu. Pia tofautisha uzungu na kuelimika.

Kwani wazungu wao nani?

Kinga itengenezwe na wengine. Uwezo wa kutengeneza kinga hatuna. Ila mafundi wa kuona matatizo kwenye hiyo kinga tunao kweri kweri hadi wa kuweka definitive time frame kama hivyo?

Kwani ramli chonganishi zikoje?
 
mi nashauri chanjo iletwe, wanaotaka kuchanjwa nikiwemo mm tuchanjwe.. wasiotaka bas waschanjwe
 
Uko obsessed na corona, fanya kulala nayo kabisa.

Kwa sababu sikubaliani na upuuzi wenu wa kudai kuwa Corona ilifukuzwa kwa maombi na kuwa nyungu ndiyo tiba yake rasmi?

Basi wewe tembea nayo kabisa.
 
Nimeipenda hii. Joshua mwana wa Nuni kutufikisha na kutupa urithi ktk nchi ya ahadi.

Tumeteseka miaka sita. Ukanda ukabila umetutesa sana. Kila msukuma alikuwa wakala wa tiss
 
Nimeipenda hii. Joshua mwana wa Nuni kutufikisha na kutupa urithi ktk nchi ya ahadi.

Tumeteseka miaka sita. Ukanda ukabila umetutesa sana. Kila msukuma alikuwa wakala wa tiss

Nakazia!
 
Tofautisha wazungu na wataalamu. Pia tofautisha uzungu na kuelimika.

Kwani wazungu wao nani?

Kinga itengenezwe na wengine. Uwezo wa kutengeneza kinga hatuna. Ila mafundi wa kuona matatizo kwenye hiyo kinga tunao kweri kweri hadi wa kuweka definitive time frame kama hivyo?

Kwani ramli chonganishi zikoje?
Kwani unafikiri wanaotahadharisha watu ni akina nani kama sio hao hao wataalamu wa kizungu?
Mark my words bro, it's only a matter of time.
 
Unajua utata wa hii chanjo upo kwenye wale waliochanja bado kuogopa kuambukizwa Corona, hapo ndiyo utata huja,

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua ni nini maana ya virus mutation? Kwa mfano mtu akikuambia virus wame-mutate unajua maana yake? Watu wengi wasio na uelewa kama wewe wanapenda sana kuuliza ni kwa nini nchi zinazochanja watu wake zinasema kila nchi ichanje raia wake. Kwa kifupi ''virus mutation'' ni ile hali ya virus kujibadilisha. Kujibadilisha huku kunatokea wanapokuwa wanaambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwingine. Na kadiri wanavyozunguka kwa watu wengi bila kuzuiwa ndiyo wanavyozidi kujibadilisha. Hali inakuwa ya hatari wanajipobadilisha kwani wanaweza kuwa wakali na wenye uwezo wa kusambaa kwa kasi zaidi hivyo kuleta madhara kwa watu ambao mwanzoni walikuwa hawaathiriki. Kwa mfano kama umesema vyombo vya habari vya kimataifa jana wamesema kuwa kuna wasafiri watatu kutoka Tanzania wamekutwa na virus ambao wamejibadilisha zaidi na kuwa hatari kuliko hata wale wa Afrika ya Kusini. Kwa hiyo watu wanaochanjwa wanakuwa kwenye hatari kwa sababu wakisalia watu wengi ambao hawachanjwa na virus wakaendelea kuzunguka miongoni mwao basi baada ya muda watabadilika na kuweza kuwaambukiza hata wale waliochajwa. Kama unashindwa kuelewa basi wewe fikiria hivi: Kama mji fulani wakiamua kuangamiza vibaka wote na baadhi ya mitaa wakagoma basi wizi hautaisha kwani watabaki sehemu ambazo watakataa kuwaangamiza na kurudi kufanya uhalifu zile sehemu nyingine.
 
Kwani unafikiri wanaotahadharisha watu ni akina nani kama sio hao hao wataalamu wa kizungu?
Mark my words bro, it's only a matter of time.

Wataalamu si wazungu peke yao. Utalaamu hauna race.

Acheni kujikita kwenye rangi za ngozi huku ndani kumbe hata mmetupia pacemaker za mabeberu hao hao!
 
Back
Top Bottom