Corona: Tanzania kuzuia chakula na bidhaa zingine kupelekwa Kenya

Corona: Tanzania kuzuia chakula na bidhaa zingine kupelekwa Kenya

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
MY TAKE; Wakenya lazima wataingiza mikia yako katikati ya miguu na kuruhusu madereva wa Tanzania kupita bila masharti yoyote kama ilivyotokea kwa Zambia, ikumbukwe kwamba njaa haina shujaa, ukiwa na njaa huna ujanja mbele ya anayekulisha. Tanzania hoyeeee.

=======

Tanzania has threatened to instruct their drivers to start dumping goods destined for Kenya at the Namanga border.

The regime in Dar es Salaam says if their drivers will not be allowed entry to Kenya following the covid-19 testing at the Namanga border, they will bag the goods at the border point and head back.

This threat comes just a day after eight truck drivers from Tanzania were turned back at the border point for testing positive for coronavirus.

“And if that cannot be possible, the owners of goods being transported to Kenya should come for them at the border as our drivers will have no other option but to leave them in Namanga,” Longido District Commissioner Frank Mwaisumbe said during an official visit to the Namanga immigration offices on Thursday.

Tanzania has instructed its drivers to be tested for Covid-19 in the country before embarking on a journey so as to use the results for clearance at the border.

Mwaisumbe however warns that of the Kenyan authorities will not respect the results then, they will have to actualize their threats.

Tanzania has since questioned the credibility of test results on their truck drivers at the border, insisting they could not buy the narrative given that they were not done under the supervision of their doctors.
 
Tukiamua Hakuna atakayepona huko Kenya, uzuri wanajua Tanzania ni nani

Screenshot_20200514-192421.png
Screenshot_20200514-192404.png
 
Ata wahenga walisema adui yako muombee njaa atanyoosha mikono juu ata Kama alikua shujaa Kenya itabidi ichague kumsikiliza beberu wa kizungu au kumsikiliza beberu mweusi bila Shaka Kenya lazima ajirud tu na Uhuru akizubaa anaweza poteza urais
You Will Start Coming for Your Goods at Namanga, Tanzania issues Threats

MY TAKE; Wakenya lazima wataingiza mikia yako katikati ya miguu na kuruhusu madereva wa Tanzania kupita bila masharti yoyote kama ilivyotokea kwa Zambia, ikumbukwe kwamba njaa haina shujaa, ukiwa na njaa huna ujanja mbele ya anayekulisha. Tanzania hoyeeee.
 
Mimi binafsi nakerwa Sana jinsi madereva wa magari ya mizigo wanavyoteseka nilitamani waanzishe hata mgomo japo wa wiki ili waheshimike au serikali ifunge boda ya namanga kwanza kwa Sasa mahitaji ya bidhaa Tanzania mengi hivyo vitu tutanunua wenyewe, kama Sasa hivi vitunguu vinepanda Sana Sasa haina haja ya kutafuta soko la nje wakati ndani vitu bado vinahitajika
Duh... Watanzania tuache roho mbaya, tuache ukaidi, tushirikiane na wenzetu kukabiliana na virusi vya korona
 
Akili za Lumumba shida. Kenya soko la uhakika mazao ya biashara . Mkulima wa Tanzania ndiye mfaidika mkuu. Siyo bure buku saba zinawarusha akili.
80% ya soko la Chakula cha Tanzania ni SADC; Msumbiji, Malawi, Zambia, DRC, Comorro, Zimbabwe, Botswana na Namibi.

Only 20% ndio tunauza Kenya, Rwanda na Uganda. Hahahaha, hahahaha.
 
Duh! Watanzania tuache roho mbaya, tuache ukaidi, tushirikiane na wenzetu kukabiliana na virusi vya korona
Mkuu

Yani wanafurahia Tz kuzuia magari ya hayo kwenda kenya Kisa kenya wanawapima korona.

Badala waishawishi serikali ya Tanzania nayo isiruhusu magari ya kenya kuingia nchini Bila Kupimwa corona

2015 tulikosea Sana.. Tena Sana..

Solution ni simple. Wenzetu wameamua kuwapima madereva wetu na sisi ni lazima tuwapime wa kwao.. Very simple logic
 
Mkuu

Vijana wengi wa lumumba humu ni wapumbavu... Yani wanafurahia Tz kuzuia magari ya hayo kwenda kenya Kisa kenya wanawapima korona...

Badala waishawishi serikali ya Tanzania nayo isiruhusu magari ya kenya kuingia nchini Bila Kupimwa corona

2015 tulikosea Sana.. Tena Sana..

Solution ni simple... Wenzetu wameamua kuwapima madereva wetu na sisi ni lazima tuwapime wa kwao.. Very simple logic

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Haina haja ya kuwapima, mnawaweka karantini kwa gharama zao pale mpakani siku 14. Anaeonyesha dalili mnamrudisha kwao.
 
Hizi ni akili fupi sana.

Suala la kupeleka chakula Kenya ni suala la kibiashara (Nipe chakula nikupe pesa), sio suala la msaada.

Ukiona mkulima wa Tanzania anauza mazao yake Kenya na kuacha kuuza hapa hapa Tanzania basi ujue bei ya kuuzia Kenya ni kubwa na yenye faida kwa mkulima.

Hivyo katikati ya mivutano ya namna hii, huenda watanzania tukaumia zaidi kiuchumi kuliko hata Kenya.
 
Asikudanganye mtu njaa na uchum kinacho Uma Sana ni njaa so Kenya wajiandae kisaikolojia
Hizi ni akili fupi sana.

Suala la kupeleka chakula Kenya ni suala la kibiashara (Nipe chakula nikupe pesa), sio suala la msaada.

Ukiona mkulima wa Tanzania anauza mazao yake Kenya na kuacha kuuza hapa hapa Tanzania basi ujue bei ya kuuzia Kenya ni kubwa na yenye faida kwa mkulima.

Hivyo katikati ya mivutano ya namna hii, huenda watanzania tukaumia zaidi kiuchumi kuliko hata Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio huenda, Tanzania ndio itakayoumia zaidi. Hizi mburula za lumumba zinadhani Kenya hawana alternative.
 
Back
Top Bottom