Corona: Tanzania kuzuia chakula na bidhaa zingine kupelekwa Kenya

Corona: Tanzania kuzuia chakula na bidhaa zingine kupelekwa Kenya

Watanzania wanashabikia mambo ya kijinga sana. Wanadhani hatua za mapambano ya Corona kule Kenya zimelenga watanzania na Tanzania, wanasahau kabisa hata huko Kenya kuna miji imefungwa kabisa, raia wa Kenya huwezi kuingia wala kutoka, na kuna wakenya wengi hilo linawaumiza.

Sasa itakuwaje kwa mgeni unayetoka kwenye nchi yenye maambukizi ya holela kama Tz uingie tu Kenya bila kuwekewa vikwazo?
 
Hizi ni akili fupi sana.

Suala la kupeleka chakula Kenya ni suala la kibiashara (Nipe chakula nikupe pesa), sio suala la msaada.

Ukiona mkulima wa Tanzania anauza mazao yake Kenya na kuacha kuuza hapa hapa Tanzania basi ujue bei ya kuuzia Kenya ni kubwa na yenye faida kwa mkulima.

Hivyo katikati ya mivutano ya namna hii, huenda watanzania tukaumia zaidi kiuchumi kuliko hata Kenya.
Habari za Chake chake sheikh?, samahani sheikh ninaomba kukuomba kipindi hiki cha mwezi mtukufu usichangie hapa JF kwasababu ya swaumu akili yako haijakaa sawa.

Hivi hujui kwenye uchumi kuna neno " Demand & Supply?", kwamba Supply ikiwa kubwa bei inashuka?. Sasa hivi Tanzania bei ya vitunguu ipo juu sana bila hata kuwepo wageni kutokana na uzalishaji wa vitunguu kuwa Chini?.

Wakulima wetu wanazalisha chakula kingi kuliko mahitaji yetu ndio sababu bei inashuka kwahiyo lazima tuongeze demand kwa kutafuta masoko ktk nchi za Jirani.

Kitu kimoja unachopaswa kutambua ni kwamba, zaidi ya 75% ya chakula kinachozalishwa Tanzania hutoka mikoa ya kusini mwa Tanzania, ambayo masoko yao ni nchi za DRC, Zambia, Zimbabwe, Malawi na Botswana, Tanzania haitegemei soko la Kenya, tunaweza tukazuia chakula kwenda Kenya na kusiwepo na athari yoyote kwa wakulima WETU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You Will Start Coming for Your Goods at Namanga, Tanzania issues Threats

MY TAKE; Wakenya lazima wataingiza mikia yako katikati ya miguu na kuruhusu madereva wa Tanzania kupita bila masharti yoyote kama ilivyotokea kwa Zambia, ikumbukwe kwamba njaa haina shujaa, ukiwa na njaa huna ujanja mbele ya anayekulisha. Tanzania hoyeeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaakili kama njegere hujui Tanzania tunafaidika na kuuza chakula nje ya nchi mfano kenya. Nani kakwambia Kenya hawazalishi chakula Kwa akili yako fupi unafikiri Tanzania ndio nchi inayoongoza Kwa kuzalisha chakula Dunia.

Kenya wanazalisha chakula kingi kutupia Sisi sema wao wanaexport baadhi ya vyakula kwenda nchi za nje .Tukilipoteza soko la kenya ni ngumu kulirudisha kwasababu nchi giant za kuzalisha chakula kama za ulaya, Asia na American watachukua Hilo gap. Kwa hapo endapo mpaka ukafungwa wakuumia zaidi ni Mtanzania kuliko mkenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo wewe sio mkulima ni mropokaji hujui athari za kupoteza soko.
Habari za Chake chake sheikh?, samahani sheikh ninaomba kukuomba kipindi hiki cha mwezi mtukufu usichangie hapa JF kwasababu ya swaumu akili yako haijakaa sawa.

Hivi hujui kwenye uchumi kuna neno " Demand & Supply?", kwamba Supply ikiwa kubwa bei inashuka?. Sasa hivi Tanzania bei ya vitunguu ipo juu sana bila hata kuwepo wageni kutokana na uzalishaji wa vitunguu kuwa Chini?.

Wakulima wetu wanazalisha chakula kingi kuliko mahitaji yetu ndio sababu bei inashuka kwahiyo lazima tuongeze demand kwa kutafuta masoko ktk nchi za Jirani.

Kitu kimoja unachopaswa kutambua ni kwamba, zaidi ya 75% ya chakula kinachozalishwa Tanzania hutoka mikoa ya kusini mwa Tanzania, ambayo masoko yao ni nchi za DRC, Zambia, Zimbabwe, Malawi na Botswana, Tanzania haitegemei soko la Kenya, tunaweza tukazuia chakula kwenda Kenya na kusiwepo na athari yoyote kwa wakulima WETU.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I have nothing personal with Kenyans but lazma tuji secure kwanza kwa kuwa na much reserve huu ugonjwa unaweza dumu for long time. Ikiwezekana nchi zote tuanze kuwauzia finished products, utaki unasepa hamna kubembeleza I.e. mchele, unga etc.... Soko lipo kubwa na litazidi katika kipind cha ugonjwa ,ongezeka if you know what I mean. 🚶🏻‍♂️🚶🏻‍♂️🚶🏻‍♂️
 
Wakituandika vibaya kuwa kila mwenye korona ametoka Tanzania hiyo haiwi roho mbaya ngoja tuwaache wafe njaa kwanza. Hapo ndio watajua 80% ya aridhi yao ni mali ya familia ya mtu mmoja
Duh... Watanzania tuache roho mbaya, tuache ukaidi, tushirikiane na wenzetu kukabiliana na virusi vya korona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaakili kama njegere hujui Tanzania tunafaidika na kuuza chakula nje ya nchi mfano kenya. Nani kakwambia Kenya hawazalishi chakula Kwa akili yako fupi unafikiri Tanzania ndio nchi inayoongoza Kwa kuzalisha chakula Dunia. Kenya wanazalisha chakula kingi kutupia Sisi sema wao wanaexport baadhi ya vyakula kwenda nchi za nje .Tukilipoteza soko la kenya ni ngumu kulirudisha kwasababu nchi giant za kuzalisha chakula kama za ulaya ,Asia na American watachukua Hilo gap. Kwa hapo endapo mpaka ukafungwa wakuumia zaidi ni Mtanzania kuliko mkenya

Sent using Jamii Forums mobile app
Huna akili, sipaswi kukujibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ama ni mtoto au ni mpumbavu. Baada ya EAC ya mwanzo kuvunjika mpaka wa Kenya na Tanzania ulifungwa kwa zaidi ya miaka mitatu, Wakenya waliishije?
Acha unyonge wa kifala wewe!

Tuko 2020 wewe unaleta mambo ya hadithi za esopo. Population ya miaka hiyo usilinganishe na sasa.
Watz kama wewe mkisikia neno Kenya mnashikwa na tumbo la kuharisha. Inferiority complex, acha hizo.
 
I have nothing personal with Kenyans but lazma tuji secure kwanza kwa kuwa na much reserve huu ugonjwa unaweza dumu for long time . Ikiwezekana nchi zote tuanze kuwauzia finished products, utaki unasepa hamna kubembeleza I.e. mchele, unga etc.... Soko lipo kubwa na litazidi katika kipind cha ugonjwa ,ongezeka if you know what I mean [emoji2213][emoji2213][emoji2213]
cc. DASM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaakili kama njegere hujui Tanzania tunafaidika na kuuza chakula nje ya nchi mfano kenya. Nani kakwambia Kenya hawazalishi chakula Kwa akili yako fupi unafikiri Tanzania ndio nchi inayoongoza Kwa kuzalisha chakula Dunia. Kenya wanazalisha chakula kingi kutupia Sisi sema wao wanaexport baadhi ya vyakula kwenda nchi za nje .Tukilipoteza soko la kenya ni ngumu kulirudisha kwasababu nchi giant za kuzalisha chakula kama za ulaya ,Asia na American watachukua Hilo gap. Kwa hapo endapo mpaka ukafungwa wakuumia zaidi ni Mtanzania kuliko mkenya

Sent using Jamii Forums mobile app
LOL funniest ever

Kenya inazalisha kipi kupeleka nje ya nchi zaidi ya maua na chai yote mashamba ya wazungu?

We mgeni humu eeh?
Usije kichwa kichwa basi.
 
Wewe ndio hauna akili unafikiri ni Vizuri kuzuia kupeleka bidhaa kama chakula nje ya nchi. Nchi inatafuta foreign currency wewe unasema eti kuzuia kuuza chakula nje ya nchi. Kwa akili yako unafikiri Tanzania inazalisha chakula kingi zaidi duniani bila kujua bado tunalima kizamani na poor technology
Huna akili, sipaswi kukujibu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh... Watanzania tuache roho mbaya, tuache ukaidi, tushirikiane na wenzetu kukabiliana na virusi vya korona
Ushirikiano gani zaidi ya huo wanaouaka? madereva wetu huku wanapimwa wanapewa clearance form kwamba wako negative, wakipimwa na wakenya wako positive, ushenzi huu nani wa kuuvumilia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndio hauna akili unafikiri ni Vizuri kuzuia kupeleka bidhaa kama chakula nje ya nchi. Nchi inatafuta foreign currency wewe unasema eti kuzuia kuuza chakula nje ya nchi. Kwa akili yako unafikiri Tanzania inazalisha chakula kingi zaidi duniani bila kujua bado tunalima kizamani na poor technology

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna foreign currency Kenya acha umbulula eti foreign exchange.

Hivi pesa ya Kenya tunaeza ichukua Marekani kuinunulia Boeing? Hujui hata maana ya foreign currency fundamentals
 
Akili za Lumumba shida. Kenya soko la uhakika mazao ya biashara . Mkulima wa Tanzania ndiye mfaidika mkuu. Siyo bure buku saba zinawarusha akili.
Hatutegemei Kenya kuuza mazao,mwaka juzi kama sijakosea,mlileta ujinga,tukauza mahindi kwa shirika la WFP, na solo mwaka litakuwa kubwa sana kwa sababu kuna njaa,pia kuna SADC! TZ has nothing to lose.
 
Wewe ama ni mtoto au ni mpumbavu. Baada ya EAC ya mwanzo kuvunjika mpaka wa Kenya na Tanzania ulifungwa kwa zaidi ya miaka mitatu, Wakenya waliishije?
Usipate taabu kasumba ya Nyerere kuwaita kenya manyangau imewatawala akili hawa wenzetu.
 
Mkuu

Vijana wengi wa lumumba humu ni wapumbavu... Yani wanafurahia Tz kuzuia magari ya hayo kwenda kenya Kisa kenya wanawapima korona...

Badala waishawishi serikali ya Tanzania nayo isiruhusu magari ya kenya kuingia nchini Bila Kupimwa corona

2015 tulikosea Sana.. Tena Sana..

Solution ni simple... Wenzetu wameamua kuwapima madereva wetu na sisi ni lazima tuwapime wa kwao.. Very simple logic

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Hawajui kuwa chakula sio silaha ya maangamizi!

Wajue kuwa mwaka huu NZIGE wamezaliana saaana. Uelekeo wao ni tanzania kwenye kijani kibichi.

Umuombealo mwenzio linaanzia mdomoni mwako. (mchimba kaburi huingia mwenyewe)

Tusiwa blackmail wanaotupa misaada.

Lumumba buku7 vichwa vya panzi.
 
It is win win situation; if we dont send those supplies our own farmers will perish due to low demand of their supplies in our local market. So we need to work as economic block to solve this trading obstacle.
Not true, Tanzanians agricultural products have huge markets in Southern African countries and DRC, we can't even satisfy their demands, we don't need Kenyan market, that's why Government of Kenya sent their officials humbly on their knees to request for maize.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom