Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kama ndani bado vinahitajika kwa nini watu wanaingia gharama zaidi kupeleka nje?
Mimi binafsi nakerwa Sana jinsi madereva wa magari ya mizigo wanavyoteseka nilitamani waanzishe hata mgomo japo wa wiki ili waheshimike au serikali ifunge boda ya namanga kwanza kwa Sasa mahitaji ya bidhaa Tanzania mengi hivyo vitu tutanunua wenyewe, kama Sasa hivi vitunguu vinepanda Sana Sasa haina haja ya kutafuta soko la nje wakati ndani vitu bado vinahitajika
Sent using Jamii Forums mobile app