Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
SADC? Tuwe serious kidogo kabla ya kuwatia umaskini wakulimaTutakula wenyewe na tutauza SADC ndiko soko letu kubwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SADC? Tuwe serious kidogo kabla ya kuwatia umaskini wakulimaTutakula wenyewe na tutauza SADC ndiko soko letu kubwa!
Huijui SADC au?SADC? Tuwe serious kidogo kabla ya kuwatia umaskini wakulima
Kenya na Uganda zote zinategemea chakula toka Tanzania, Uganda hawajitoshekezi kwa mchele, lazima waagize toka Tanzania. Tunazungumzia bidhaa muhimu kama Chakula, sio maziwa ambayo nchi inaweza kuishi bila maziwa.Boda kati ya Kenya na Tz ilifungwa kwa miaka saba, na uchumi wa Kenya haukutikisika. Kumbuka waganda ndio wanauza bidhaa nyingi Kenya, zaidi ya watz.
Hivi kwanini hamtumii akili?, chakula sasa hivi ni bidhaa adimu sana katika ukanda huu, karibu nchi zote zinahitaji chakula, au unadhani ni Kenya pekee ndio wenye njaa?. WFP pekee wanaweza kununua zaidi ya 80% ya chakula chetu cha ziada.Mkuu sasa sisi tukibaki na mavyakula yetu uchumi ndiyo utapanda? Yatakuozea na kuingia hasara tu
Kwasababu hujui dunia inavyokwenda, chakula cha Tanzania kwa muda mrefu kimekua kikiuzwa zaidi DRC na nchi za kusini mwa Africa, WFP walikua hawanunua kwa sababu hatukua na kiwango cha kutosha wanachohitaji, kumbuka Mara kwa Mara Serikali yetu ilikua ikipiga marufuku uuzaji wa chakula nje ya nchi ili kukabiliana na upungufu wa chakula, hicho chakula ulichokua unakiona kikienda Kenya, ni sehemu ndogo sana ya kinachokwenda kusini mwa Africa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siijui. Umeuza mara ngapi huko wakulima wako wakanufaika?Huijui SADC au?
Hao wakulima mnaowaona wanakuja huko, ni chini ya 5% ya wakulima wa Tanzania, wengi wao hutokea mikoa Jirani na Kenya, hawapendi kusafirisha bidhaa zao kwenda kusini mwa Africa kutokana na umbali.Ipo kusini na bado wakulima wanaleta vyakula Kenya.
Kwanza siku hyo sokoni yakija malori ya tanzania na kenya kw pamoja jamaa huaga wanakimbilia ya kenya..
Uliza mtu wa mombasa akupe utofauti wa tomato, machungwa, vitunguu saumu viazi, tomato nk. Vya kenya na tanzania bora ni gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya na Uganda zote zinategemea chakula toka Tanzania, Uganda hawajitoshekezi kwa mchele, lazima waagize toka Tanzania. Tunazungumzia bidhaa muhimu kama Chakula, sio maziwa ambayo nchi inaweza kuishi bila maziwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huijui wewe labda unaijua kwenye makaratasi.Siijui.....umeuza mara ngapi huko wakulima wako wakanufaika?
Southern African Development Community naijua kuliko hata wewe
Huyo kwa upeo wake dhahiri hajui masoko zaidi ya soko la Tandale /Mazense .Siijui.....umeuza mara ngapi huko wakulima wako wakanufaika?
Southern African Development Community naijua kuliko hata wewe
Hili swali unapaswa kuwauliza hao wanaokuja kununua Tanzania, ninakushauri uanze kuwauliza WFP kwanza, kwanini wameamua kununua chakula Tanzania wakati kuna nchi nyingi zinazozalisha chakula?Kwa nini lazima wanunue nchini kwako?
Mchele unazalishwa na nchi nyingi sana duniani na unauzwa bei rahisi kote duniani.
hamna unachojua kama unavyojinadi.kama unakumbuja mwaka 2016 ni soko lipi la mahindi lilifungwa likasababisha mhindi kufurika,mpaka ghala la taifa,kwa hoja za serikali kwamba wakulima wanauza mpaka chakula binafsi.Siijui.....umeuza mara ngapi huko wakulima wako wakanufaika?
Southern African Development Community naijua kuliko hata wewe
Weye unataka tufanye nini buji, tufanye lockdawn km wengine walivyofanya, au tutoe taharifa za kuwapa watu hofu km za wenzetu, tushaambiwa wacha tuishi nao km ukimwi na magonjwa mengine maisha yaendelee.Duh... Watanzania tuache roho mbaya, tuache ukaidi, tushirikiane na wenzetu kukabiliana na virusi vya korona
hawa wamesahau mara kibao hapa huwa wanatucheka kwa kuwauzia raw products.leo wamekaza matako eti[emoji16][emoji16][emoji16].Hili swali unapaswa kuwauliza hao wanaokuja kununua Tanzania, ninakushauri uanze kuwauliza WFP kwanza, kwanini wameamua kununua chakula Tanzania wakati kuna nchi nyingi zinazozalisha chakula?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hopeless comment mimi nina exposure zaidi yako!Huyo kwa upeo wake dhahiri hajui masoko zaidi ya soko la tandale /mazense .
Haya mambo yanahitaji utulivu sana.vinginevyo huwezi kuyaelewa mkuu.hongera kwa kutafakari.Kama kweli huo upimaji unaolalamikiwa na madereva ni wa kweli aisee binafsi ningemvunja mtu miguu.
Yawezekana watu wanaambukizwa kwa makusudi tu ndo maana tunatajiwa takwimu za kibabe hapo border.
Unamchokonoa mtu koo then unaendelea na mwingine bila ku-sanitize hicho kifaa karne ya 21!!
Hizo ni hujuma,hao jamaa hawafai.
Aaah wapi.