Habari za Chake chake sheikh?, samahani sheikh ninaomba kukuomba kipindi hiki cha mwezi mtukufu usichangie hapa JF kwasababu ya swaumu akili yako haijakaa sawa.
Hivi hujui kwenye uchumi kuna neno " Demand & Supply?", kwamba Supply ikiwa kubwa bei inashuka?. Sasa hivi Tanzania bei ya vitunguu ipo juu sana bila hata kuwepo wageni kutokana na uzalishaji wa vitunguu kuwa Chini?.
Wakulima wetu wanazalisha chakula kingi kuliko mahitaji yetu ndio sababu bei inashuka kwahiyo lazima tuongeze demand kwa kutafuta masoko ktk nchi za Jirani.
Kitu kimoja unachopaswa kutambua ni kwamba, zaidi ya 75% ya chakula kinachozalishwa Tanzania hutoka mikoa ya kusini mwa Tanzania, ambayo masoko yao ni nchi za DRC, Zambia, Zimbabwe, Malawi na Botswana, Tanzania haitegemei soko la Kenya, tunaweza tukazuia chakula kwenda Kenya na kusiwepo na athari yoyote kwa wakulima WETU.
Sent using
Jamii Forums mobile app