Corona: Tanzania kuzuia chakula na bidhaa zingine kupelekwa Kenya

Corona: Tanzania kuzuia chakula na bidhaa zingine kupelekwa Kenya

Mkuu

Vijana wengi wa lumumba humu ni wapumbavu. Yani wanafurahia Tz kuzuia magari ya hayo kwenda kenya Kisa kenya wanawapima korona.

Badala waishawishi serikali ya Tanzania nayo isiruhusu magari ya kenya kuingia nchini Bila Kupimwa corona

2015 tulikosea Sana.. Tena Sana..

Solution ni simple. Wenzetu wameamua kuwapima madereva wetu na sisi ni lazima tuwapime wa kwao.. Very simple logic

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Tatizo vipimo hivyo ni gharama ndungu, na ndo maana hatupimi mtu hadi aoneshe dalili, sasa tutawezaje kuwapima madereva raia wa nchi nyingine wakati tumeshindwa kuwapima watanzania?!
 
Today we have sent back 78 positive drivers back to Tanzania. We can't tolerate nonsense.

Hahahaa!!yani eti nchi yakytutishia kufunga mipaka ni tanzania[emoji23][emoji23][emoji23]
Uhuru leo keshamaliza kila kitu, hakuna cha movement yyte katika mipaka yote ya kenya labda bidhaa tu..na dereva lazima apimwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio wote ni watz...halafu nyie ndo mmekuwa chief supplier wa #covid19 Uganda.
Unaezalia ukipenda. Tanzanian nationals were 76 and 2 Somalis. Juzi walikuwa 8 and the other day 23 Tanzanians were found with corona. Those numbers you can add to your national tally.
 
Sasa si mngefungia na mizigo😅😅...kama US walivyofungia bidhaa za China.
Uhuru sio mjinga kama yule Kinjeketile Ngwale. More Kenyan goods are crossing going to Tanzania as compared to the other way round. We are selling more goods to you as compared to what you are selling to us.
 
Unaezalia ukipenda. Tanzanian nationals were 76 and 2 Somalis. Juzi walikuwa 8 and the other day 23 Tanzanians were found with corona. Those numbers you can add to your national tally.
Vipimo vyenu hatuviamini kwanza vilitofautiana na Uganda, halafu muache kwenda uganda mnaongeza maambukizi.
 
Back
Top Bottom