RAKI BIG
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 394
- 456
Pia Tanzania ina 945,087 km² na kenya ina 580.367k km² kama nusu yetu ya ardhi ni mashamba na ndo tunamzalishia yeye na rai wake waweze kula pamoja na sisi.hi tofauti ni kubwa sana hana namna lazima afungue tu mapema iwezekanavo.japokuwa anaweza akaagiza chakula kwa ndege kama tulivockia kaagiza mahindi mexico sasa cjui ilikuwa kweli au porojo tuhttps://www.google.com/search?clien...hUKEwiHyr_SvLjpAhUSYcAKHS-eDSMQxA0wBHoECA8QBg