Corona: Tanzania kuzuia chakula na bidhaa zingine kupelekwa Kenya

Corona: Tanzania kuzuia chakula na bidhaa zingine kupelekwa Kenya

Vipimo vyenu hatuviamini kwanza vilitofautiana na Uganda...halafu muache kwenda uganda mnaongeza maambukizi
Then ambia Magufuli afunge border ya Kenya na Uganda😂😂. Huko na hasira sana broh.
 
Uhuru sio mjinga kama yule Kinjeketile Ngwale. More Kenyan goods are crossing going to Tanzania as compared to the other way round. We are selling more goods to you as compared to what you are selling to us.
Look at this absurd!!! Hata simple logic unashindwa tumia!! Mmeruhusu mizigo kutoka huku,inamaanisha bidhaa kutoka huku mnazihitaji mno,and mostly are agricultural products.

Kwa maana nyingine mnamuogopa yule mbabe anayewaandama;starvation. Halafu mnajitangaza eti washindi, wajinga sana. Ndo kwanza muvi inaanza, kaa kitini ukila popcorn huku ukishushia na Pepsi uone mwisho utakavyokuwa.
 
Uhuru sio mjinga kama yule Kinjeketile Ngwale. More Kenyan goods are crossing going to Tanzania as compared to the other way round. We are selling more goods to you as compared to what you are selling to us.
Hapo ulipo unanuka njaa na jeuri yote hyo, this is doner county haiwezi yumbishwa na kanchi kadogo kenye njaa kila mwaka [emoji3][emoji3]
 
Hahaaa!!tumepewa na mabeberu tuwadidimize kiuchumi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie hamuwezi leta impact yoyote kwetu zaidi ya kelele.., hata Magu analijua hilo..that's why anawafungia vioo... Halafu mkaona mlipishe kwa hivi ...mkisahau kuwa your truck drivers take the lead in Uganda defeating even those from Tz...wajinga ninyi.
 
Uhuru sio mjinga kama yule Kinjeketile Ngwale. More Kenyan goods are crossing going to Tanzania as compared to the other way round. We are selling more goods to you as compared to what you are selling to us.
Endelea kupiga ngonjera, huyu kinje unayemwita amefanya marais 15 wamepanick wasijue nini wafanye.

Wakati wewe unawaza kuuza blue band na kiwi za viatu,sisi tunakuuzia mahindi na maharage.mimi nilitegemea kauli ya kiume kutoka kwa kenyata kwamba aisee,hakuna roli kukatiza namanga hapo.

Hapo ndio ungejua nani mwenye mbwa ukanda huu,but uhuru anajua nani anakoroma ukanda huu.imebidi aongee kijanja.
 
endelea kupiga ngonjera,huyu kinje unayemwita amefanya marais 15 wamepanick wasijue nini wafanye.

wakati wewe unawaza kuuza blue band na kiwi za viatu,sisi tunakuuzia mahindi na maharage.mimi nilitegemea kauli ya kiume kutoka kwa kenyata kwamba aisee,hakuna roli kukatiza namanga hapo.

hapo ndio ungejua nani mwenye mbwa ukanda huu,but uhuru anajua nani anakoroma ukanda huu.imebidi aongee kijanja.
Hakuna ushindani wa kukomoana na wa wazi baina ya nchi na nchi ulio mwepesi. Hata kwa anayeibuka mshindi huwa kuna matokeo baada ya kumkomoa mwenzio, na matokeo ni lazima yakuumize sehemu flani.
 
Umepata habari za madereva wenu leo wametimuliwa, hatuyumbishwi na kauli za wana lumumba

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vyema muwarudishe.

wakija huku wanawanakaribishwa na barakoa za MO,kisha mpaka hospitali wanhakikiwa upya.halafu baada ya kujihakikishia hawana corona wanaruhusiwa wakaendelee na shughuli zao.
 
Ni vyema muwarudishe.

wakija huku wanawanakaribishwa na barakoa za MO,kisha mpaka hospitali wanhakikiwa upya.halafu baada ya kujihakikishia hawana corona wanaruhusiwa wakaendelee na shughuli zao.
Tomorrow expect to see another 50+ Tanzanians drivers being denied entry into Kenyan soil. We don't give a fk what the southern witch has to say about Kenya.
 
You don't know anything about Somalia. They even export fish to Kenya.
I was talking about sugar not fish, what type of discussant are you?, why can't you finish one thing before you move to another point?.

Are you proud to tell people that Somali is exporting fishes to you despite the fact that Kenya has both Indian Ocean and big lakes like Victoria, Turkana and others?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi ana ubavu huo, kodi mzee..
Kenya inaijenga sana tz kiuchumi na hilo abalielewa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba afunge mpaka kwanini? Alishakataa toka corona inasoma 1.tena sio kwa kenya tu,n chi zote tunazopakana nazo.

Sisi hatuna siasa my friend, kama kuna sababu ya msingi kufunga boda, ni kufunga kweli kweli, uliza ishu ya KQ kutua nchini just incase hukuwa umezaliwa[emoji23][emoji23]. Kenya ingekuwa inaijenga tz kiuchumi msingekuwa mnatuogopa namna hii, yaani unajua kabisa tunaleta corona halafu unaruhusu tuingie[emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom