Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Kweli wewe ndio wale waliokomaa kuanzia shingoni kuja chini , Kenya izalishe chakula kuliko Tanzania Kisha wauze nje chote harafu waanze kuangaika kutafuta chakula miaka yote hiyo c maneno ya uchizi haya!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaakili kama njegere hujui Tanzania tunafaidika na kuuza chakula nje ya nchi mfano kenya. Nani kakwambia Kenya hawazalishi chakula Kwa akili yako fupi unafikiri Tanzania ndio nchi inayoongoza Kwa kuzalisha chakula Dunia. Kenya wanazalisha chakula kingi kutupia Sisi sema wao wanaexport baadhi ya vyakula kwenda nchi za nje .Tukilipoteza soko la kenya ni ngumu kulirudisha kwasababu nchi giant za kuzalisha chakula kama za ulaya ,Asia na American watachukua Hilo gap. Kwa hapo endapo mpaka ukafungwa wakuumia zaidi ni Mtanzania kuliko mkenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app