Leo tumerudisha watanzania kumi na mbili. Hiyo adabu mnataka ngojeni Burundi will present it to you.Kenya bila Tanzania mtawezana?. Tanzania ndio nchi pekee kwa Afrika mashariki ambayo Nzige hawakupita. Kenya muwe na Adabu kwa Taifa Teule
Sent using Jamii Forums mobile app
keshokutwa 18,msisahau kutusome ubaoLeo tumerudisha watanzania kumi na mbili. Hiyo adabu mnataka ngojeni Burundi will present it to you.
Are you aware that today we have also chased away 12 Tanzanians.keshokutwa 18,msisahau kutusome ubao
kunya 0:850 corona.
Mahindi za Mexico hazijaishaMta-survive bila githeri?
nyinyi rudisheni wote mtakao wakamata,ili corona itakapowapa mimba kisawa sawa,mkose kututupia lawama za kijinga.Are you aware that today we have also chased away 12 Tanzanians.
utawala bora upi? Mabilioni ya fedha za corona yalotolewa hayajulikani yameenda wapi! Karantini mbovu kabisa uku unaskiawametoa mabilioni kwa ajili ya kupambana na covid. Watu wanabambikiziwa ma bills tu.Tungojee leo hotuba ya Uhuru ila mkumbuke Kenya iko mbali sana kwa utawala bora.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wao wajenge GDP, sisi tutazalisha chakula, wao wajenge GDP sisi tutahakikisha watanzania wanapata maji safi na salama, wao wajenge GDP sisi tunajenga Hospitals na kununua dawa za kutosha, wao wajenge GDP sisi tunajenga SGR ya UMEME, wao wajenge GDP sisi tunajenga bwawa kubwa la kuzalisha umeme wa uhakika na wa bei nafuu, wao wajenge GDP sisi tunajenga BRT. Hahahaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya wanazalisha chakula zaidi yetu?,Unaongea vitu mpaka nakushangaa
Tunazalisha na hivyo vyote ukivyosema hapo tunabyofanya vinahesabika kwenye GDP ya Tanzania
Shida ni kwamba tunafanya bado havitoshi,Kenya wanafanya zaidi yetu mara mbili!
Ndio point yangu hapa!
Huo uzalishaji wote unaosemea hapa bado hautoshi,tunatakiwa tuzalishe maradufu tuwakutie Kenya!
Sijui hujaelewa nini?
niliishakwambia unabishana na mlevi.huelewi[emoji2][emoji2]
Jibu swali, Kenya wanazalisha chakula zaidi yetu?, Kenya wanajenga reli ya UMEME?, Kenya wanajenga bwawa kubwa la UMEME?, Kenya wanajenga BRT?, Kenya wanajenga meli kubwa na za kisasa?niliishakwambia unabishana na mlevi.huelewi[emoji2][emoji2]
A dead state ready to be burried?., hauoni hilo?.,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hampo kamwe., jua hivyo, ukubali ukatae.Ndani ya wiki moja kuanzia Leo mtaanza kupata joto la jiwe baada ya Tanzania kuzuia "Cargo vehicles" kuja Kenya. Kenya bila Tanzania hamuwezi kusurvive .
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya bila Tanzania mtawezana?. Tanzania ndio nchi pekee kwa Afrika mashariki ambayo Nzige hawakupita. Kenya muwe na Adabu kwa Taifa Teule
Sent using Jamii Forums mobile app
Mweupe moyoniwewe ni mweupe buda kubali[emoji23][emoji23]
What percentage?., nyie mnaongoza kwa umasikini wa kutupwa (extreme poverty), sasa na hii corona mtakua vipi? It will worsen! Ni neema ya mwenyezi Mungu itawaweka, kama unaelewa hilo, la sivyo you remain a dead state. Pray to God bro, pray.Endeleeni kuimba GDP huku mnakufa kwa njaa na shida ya MAJI Nairobi ikiambatana na kipindupindu vinaongezeka
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona wataka kuanzisha ligi, tuyafanye mafupi umeshinda bukta ni yako. Mwanaume hashindani na sidiria😄Hahahahta, Ethiopia na Sudana zinazalisha chakula cha ziada kuweza kulisha Kenya?, wacha kujidhalilisha. Leo hii Kenya inalishwa na Ethiopia kweli?, hii ni aibu kubwa sana kwa Kenya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaandika kiuchungu sana [emoji23]Taifa teule haliwezi kua la kishenzi vile., uganga na dini ya ushirikina imetawala nchi., mnaita mwenyezi Mungu kwa unafiki, mumedanganywa kishenzi. Jiangalie kwanza kabla ya kupayuka. Mungekua teule umasikini haungekua wimbo kila mahali kama vile Christina Shusho anakiri kwa nyimbo, kaka sema Amina katika hilo ombi lake huyu dada kwa Tanzania, la sivyo shetani ataendelea kutawala kupitia kwa wale wenzenyu wenye wana sacrifice albino na kufanya tambiko za giza.
Sent using Jamii Forums mobile app
roho nyeupe au isiyo na kitu ni makazi mapya ya shetani.Mweupe moyoni
Mimi usinililie juu sikuwafukuza hao madereva.nyinyi rudisheni wote mtakao wakamata,ili corona itakapowapa mimba kisawa sawa,mkose kututupia lawama za kijinga.
truth is jogging behind your ass.