Corona: Tanzania kuzuia chakula na bidhaa zingine kupelekwa Kenya

Corona: Tanzania kuzuia chakula na bidhaa zingine kupelekwa Kenya

Are you aware that today we have also chased away 12 Tanzanians.
nyinyi rudisheni wote mtakao wakamata,ili corona itakapowapa mimba kisawa sawa,mkose kututupia lawama za kijinga.

truth is jogging behind your ass.
 
Tungojee leo hotuba ya Uhuru ila mkumbuke Kenya iko mbali sana kwa utawala bora.

Sent using Jamii Forums mobile app
utawala bora upi? Mabilioni ya fedha za corona yalotolewa hayajulikani yameenda wapi! Karantini mbovu kabisa uku unaskiawametoa mabilioni kwa ajili ya kupambana na covid. Watu wanabambikiziwa ma bills tu.
 
Wao wajenge GDP, sisi tutazalisha chakula, wao wajenge GDP sisi tutahakikisha watanzania wanapata maji safi na salama, wao wajenge GDP sisi tunajenga Hospitals na kununua dawa za kutosha, wao wajenge GDP sisi tunajenga SGR ya UMEME, wao wajenge GDP sisi tunajenga bwawa kubwa la kuzalisha umeme wa uhakika na wa bei nafuu, wao wajenge GDP sisi tunajenga BRT. Hahahaha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Unaongea vitu mpaka nakushangaa

Tunazalisha na hivyo vyote ulivyovisema hapo vyote vinahesabika kwenye GDP ya Tanzania

Shida ni kwamba tunafanya bado havitoshi,Kenya wanafanya zaidi yetu mara mbili!

Ndio point yangu hapa!

Huo uzalishaji wote unaosemea hapa bado hautoshi,tunatakiwa tuzalishe maradufu tuwakutie Kenya!

Sijui hujaelewa nini?
 
Unaongea vitu mpaka nakushangaa

Tunazalisha na hivyo vyote ukivyosema hapo tunabyofanya vinahesabika kwenye GDP ya Tanzania

Shida ni kwamba tunafanya bado havitoshi,Kenya wanafanya zaidi yetu mara mbili!

Ndio point yangu hapa!

Huo uzalishaji wote unaosemea hapa bado hautoshi,tunatakiwa tuzalishe maradufu tuwakutie Kenya!

Sijui hujaelewa nini?
Kenya wanazalisha chakula zaidi yetu?,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanangoja nini? It would be nice so that we stop hearing the tunawalisha noise.
 
Taifa teule haliwezi kua la kishenzi vile., uganga na dini ya ushirikina imetawala nchi., mnaita mwenyezi Mungu kwa unafiki, mumedanganywa kishenzi. Jiangalie kwanza kabla ya kupayuka. Mungekua teule umasikini haungekua wimbo kila mahali kama vile Christina Shusho anakiri kwa nyimbo, kaka sema Amina katika hilo ombi lake huyu dada kwa Tanzania, la sivyo shetani ataendelea kutawala kupitia kwa wale wenzenyu wenye wana sacrifice albino na kufanya tambiko za giza.
Kenya bila Tanzania mtawezana?. Tanzania ndio nchi pekee kwa Afrika mashariki ambayo Nzige hawakupita. Kenya muwe na Adabu kwa Taifa Teule

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endeleeni kuimba GDP huku mnakufa kwa njaa na shida ya MAJI Nairobi ikiambatana na kipindupindu vinaongezeka

Sent using Jamii Forums mobile app
What percentage?., nyie mnaongoza kwa umasikini wa kutupwa (extreme poverty), sasa na hii corona mtakua vipi? It will worsen! Ni neema ya mwenyezi Mungu itawaweka, kama unaelewa hilo, la sivyo you remain a dead state. Pray to God bro, pray.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taifa teule haliwezi kua la kishenzi vile., uganga na dini ya ushirikina imetawala nchi., mnaita mwenyezi Mungu kwa unafiki, mumedanganywa kishenzi. Jiangalie kwanza kabla ya kupayuka. Mungekua teule umasikini haungekua wimbo kila mahali kama vile Christina Shusho anakiri kwa nyimbo, kaka sema Amina katika hilo ombi lake huyu dada kwa Tanzania, la sivyo shetani ataendelea kutawala kupitia kwa wale wenzenyu wenye wana sacrifice albino na kufanya tambiko za giza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaandika kiuchungu sana [emoji23]

Shida ni njaa au ni stress [emoji23]
 
Back
Top Bottom