Corona: Tanzania kuzuia chakula na bidhaa zingine kupelekwa Kenya

Corona: Tanzania kuzuia chakula na bidhaa zingine kupelekwa Kenya

Fact ni pale pale

GDP yao imetuzunguka mara mbili

Hatujui kujenga GDP,wao wanajua,wanajua kuzalisha

Sisi hatujui,on top of that eti tunaringa ku-export eti “kuikomoa” Kenya,thats nonsense aisee!

Utajengaje GDP bila ku export na kuzalisha kwa msuli?

Tutazidi kufeli tusipogeuka real cut throat capitalists kama Kenyans and beyond

We will never learn
which GDP ambayo inakopa right and left? Inatembeza bakuli kwa kila janga?

Magufuli is coward haezifanya kitu.

magu huwa hajibu kwa mdomo watu kama uhuru.

kamuulize kagame kama unaweza.sisi huwa tunaonyesga how powerfull we are kwa vitendo,subiri the silent turn,utasikia mbwa tu zikibweka[emoji23][emoji23][emoji23].
 
which GDP ambayo inakopa right and left? Inatembeza bakuli kwa kila janga?

Sasa Government Debt inajumlishwa kwenye country’s GDP of a particular year?

Kenya anakopa kutokana na uhimilivu wa uchumi wake

TZ for the last 5 years hata mikopo haipati tena na unajua who is a reason here!

Na hapa bwana Geza tukubaliane,Kenya wanazalisha zaidi yetu mara mbili higher!

Wanazalisha hasa,tujifunze kuzalisha zaidi yao!
 
Sasa Government Debt inajumlishwa kwenye country’s GDP of a particular year?

Kenya anakopa kutokana na uhimilivu wa uchumi wake

TZ for the last 5 years hata mikopo haipati tena na unajua who is a reason here!
Kenya imepewa mkopo kutokana na humanitarian needs juu ya Janga la sivyo wasingepewa! Make use of the media to know what's going on! Usibishe kifalafala! Thes risk of debt distress status is high!

IMF raises Kenya's risk of debt distress to high from moderate
 
which GDP ambayo inakopa right and left? Inatembeza bakuli kwa kila janga?

Kukopa haimaanishi nchi haijaendelea Geza...mikopo ni part ya nchi zinavyoendeshwa. Nchi kama US na nchi zingine hivi maajuzi zimeannounce economic stimulus kuokoa uchumi wao kutokana na janga la corona, hivi unadhani hizi pesa zinatoka wapi? Utasema sasa Tanzania imeendelea kuiliko US kwa kua nyinyi hamkopi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya imepewa mkopo kutokana humanitarian needs juu ya Janga la sivyo wasingepewa! Make use of the media to know what's going on!

Here is the kicker,.....

Kwanini Kenya apewe Tanzania asipewe maana kote kuna wanadamu wenye shida ile ile?

Mkwamishaji unamjua...he is useless!
 
Here is the kicker,.....

Kwanini Kenya apewe Tanzania asipewe maana kote kuna wanadamu wenye shida ile ile?

Mkwamishaji unamjua...he is useless!
Tanzania haijaomba! Kila nchi ina economic policies zake! JPM alisema badala ya kupewa loan tusamehewe kulipa deni lilipo kwa sasa mpaka baadae!
 
Watanzania watu maajabu sana.. Chakula kinachotoka Tanzania hapa Kenya huletwa kuuzwa Nairobi... Tanzania wakifunga mpaka bei ya bidhaa zingine itapanda kwa sababu ya low supply.. Lakini baada ya miezi kama 6 hivi wakulima wataongeza production. Saa hizi hata chakula cha Tanzania kinachangia kuharibika soko.. Mkifunga mpaka itakuwa furaha kwa wakulima wetu... Tena huku mikoani Kenya hakuna chakula cha TZ kinauzwa huko
 
Kama wanapigana na corona ni jambo jema, lakini corona haiingizwi na madereva wa tz, kama mnabisha muulizenu m7 na Kagame hali ikoke baada ya matamko ya kipimbi.
Mkuu, sijawasikia serikali ya Kenya ikisema itawapima watanzania tu maana wao ndo wenye corona. Tuache kutafuta ugomvi usiokuwepo. Corona imeleta panik duniani na kila nchi inapigana nayo kivyake. Umesahau ni juzi tu raisi wetu wa Tz alikuwa anazungumza na Kenyata live kwa simu na ushirikiano upo vizuri tu?
 
Fact ni pale pale

GDP yao imetuzunguka mara mbili

Hatujui kujenga GDP,wao wanajua,wanajua kuzalisha

Sisi hatujui,on top of that eti tunaringa ku-export eti “kuikomoa” Kenya,thats nonsense aisee!

Utajengaje GDP bila ku export na kuzalisha kwa msuli?

Tutazidi kufeli tusipogeuka real cut throat capitalists kama Kenyans and beyond

We will never learn
Wao wajenge GDP, sisi tutazalisha chakula, wao wajenge GDP sisi tutahakikisha watanzania wanapata maji safi na salama, wao wajenge GDP sisi tunajenga Hospitals na kununua dawa za kutosha, wao wajenge GDP sisi tunajenga SGR ya UMEME, wao wajenge GDP sisi tunajenga bwawa kubwa la kuzalisha umeme wa uhakika na wa bei nafuu, wao wajenge GDP sisi tunajenga BRT. Hahahaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawatambui hilo, Tanzanian farm produce is run by market cartels and shrewd business men, it is not quite a straight line business, nikama hawking hivi., una piga deal na wafanya biashara wa Tanzania, unatafuta soko huku kisha una order bidhaa kwa bei nafuu kutola Tanzanian mwishowe unatengeneza faida kubwa, hapa ni middle men, corrupt border officials na polisi ndio wanafaidika, farmers wa Tanzania wanapata kidogo ya kununua sukari tu., traders wa Nairobi wanapata faida kubwa, wananunua kwa wholesale price na kuuza in their green groceries in local market price which is even three to four times more than in Tz, ingekua vyema serikali ya Tanzania ingenunua mazao kutoka kwa farmers kwa bei nzuri ya kufaidi wakulima, kisha waka export directly to Kenyan markets. But Tz has become a capitalist state, a man eat man society, like any in the world, corrupt officials, politicians and shrewd businessmen are calling the shots, poverty stricken minds here ni kushangilia ujinga tupu, Nyerere's ideology died with him.

Back
Top Bottom