Corona: Tanzania kuzuia chakula na bidhaa zingine kupelekwa Kenya

Corona: Tanzania kuzuia chakula na bidhaa zingine kupelekwa Kenya

Cry baby. Kenya has shown Magufuli middle finger.
[emoji16][emoji16][emoji16]una maimuvu makali sana.sisi ndio wa kuongea ukanda huu,hakuna kima yeyote.

wengine wananung'unika tu.
 
Hiyo border tutafungua tukijiskia. After those 30 days we can decide to extend the closure.
since then haina madhara yoyote mnaweza ongeza hata miezi 6.maana hakuna atakayewauliza hata baada ya tamko la jana.
 
Mbona Rahisi sana suluhisho la usafirishaji mizigo! joto la jiwe ali suggest Madereva wa Tanzania waache magari namanga, Basi mimi naongeza hili - Dereva wa Kenya achukue afikishe mzigo, akirudi awache gari border.
Exchange point kwa border magari yanafanywa sanitization
 
Kwanza mmeitangazia dunia kua vyakula vyenu vina corona.....ujue kua ukufanya hivo na kwa jinsi dunia inavomchkulua huyu mhuni aliyejichimbiaa chato basi dunia inaweza kuungana na kususia vyetu vingi alafu wao wakashirikiana....
Mfano ikitokea maana yake korosho watanunua na wanajeshi wetu? Kahawa utamuuzia nani.? Madini yetu watasema yana corona ...hajuna kuuza samaki nje. Haya yakitokea wala sio shida kwa magufuli na ccm bali ni shida kwa wakulima na watz....
 
Mwaka Jana Tanzania haikuuza mahindi mengi Kenya kwasababu ilipeleka kusini mwa Afrika kutokana na kimbunga kilichozikumba nchi za Msumbiji, Malawi, na Zimbabwe, ndio sababu hata "Balance of trade" ilionyesha Kenya imeuza zaidi kwa Tanzania, lakini kwa wastani Tanzania inauza 40% ya mahitaji ya Kenya ya mahindi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una evidence ama ni porojo tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka juzi au mwaka jana hawa wakenya walikataa kununua mahindi yetu, wakaanza kununua ya zambia, then eti wayapitishe kwenye barabara za Tanzania to Kenye!! Mzee baba akapiga pini Magari yote ya Kenya hakuna kupita Tanzania!!! Mbona waliomba pooo!!!

ni swala la muda wataomba pooo soon, hawana ujanja
Juu mlizuia tulikosa mahindi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaona wakenya mwenyewe wamenyamaza kimya hata like hawa thubutu kutoa kwa wajinga kama wewe maana wanajua moto wa tz kufunga mpaka na kuzuia chakula Kenya lazima jubilii ipigwe chini.

Send by APOLO 1
Si eti tumenyamaza, if you argue with a fool chances of becoming a fool is high. Think before you leap. It work both ways, bila biashara mimi ntakosa bidha wewe utakosa hela thats it. Khabari ya kufunga mipanga hiyo is beyond our control kiufupi ni siasa. Na kuhusu masoko mimi binafsi niko mombasa na nimeshuhudia vyakula vya kutoka Ethiopia na Sudan vikiingia sokoni incase Tanzania kuna shida.
 
Si eti tumenyamaza, if you argue with a fool chances of becoming a fool is high. Think before you leap. It work both ways, bila biashara mimi ntakosa bidha wewe utakosa hela thats it. Khabari ya kufunga mipanga hiyo is beyond our control kiufupi ni siasa. Na kuhusu masoko mimi binafsi niko mombasa na nimeshuhudia vyakula vya kutoka Ethiopia na Sudan vikiingia sokoni incase Tanzania kuna shida.
Hahahaha, Ethiopia na Sudana zinazalisha chakula cha ziada kuweza kulisha Kenya?, wacha kujidhalilisha. Leo hii Kenya inalishwa na Ethiopia kweli?, hii ni aibu kubwa sana kwa Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, Ethiopia na Sudana zinazalisha chakula cha ziada kuweza kulisha Kenya?, wacha kujidhalilisha. Leo hii Kenya inalishwa na Ethiopia kweli?, hii ni aibu kubwa sana kwa Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
😄 😄 😄 Naongeza msistizo never argue with a fool, mpakani wakulima wapo wanaoweza leta bidhaa zao sokoni.si lazima nchi nzima ilime ndio watuuzie,think 🤔
 
Get prepared for countrywide famine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Point of correction bruh, in African countries famine is not caused by shortage of supplies but inasababishwa na siasa mbaya, ufisadi na utumiaji mbaya wa mamlaka. Kama tunavyoona sahizi Uhuru na Magufuli wanapo ongea maneno yao hawafkiri watu wamapato ya chini na athari zake.
 
Unaakili kama njegere hujui Tanzania tunafaidika na kuuza chakula nje ya nchi mfano kenya. Nani kakwambia Kenya hawazalishi chakula Kwa akili yako fupi unafikiri Tanzania ndio nchi inayoongoza Kwa kuzalisha chakula Dunia.

Kenya wanazalisha chakula kingi kutupia Sisi sema wao wanaexport baadhi ya vyakula kwenda nchi za nje .Tukilipoteza soko la kenya ni ngumu kulirudisha kwasababu nchi giant za kuzalisha chakula kama za ulaya, Asia na American watachukua Hilo gap. Kwa hapo endapo mpaka ukafungwa wakuumia zaidi ni Mtanzania kuliko mkenya

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia basi,
Ushawahi kuona hata shamba la mpunga Kenya??

Hao wanalima maua, Kahawa na Chai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom