Corona: Tanzania kuzuia chakula na bidhaa zingine kupelekwa Kenya

Corona: Tanzania kuzuia chakula na bidhaa zingine kupelekwa Kenya

Leo umekubali kuwa huwa mnaexport omba omba to Kenya? In fact that's your largest export to Kenya.[emoji23][emoji23][emoji23]
kwahiyo rais amezuia omba omba,wakati madereva ndio wanaoeneza corona.

we are here tu stay,kuona kama kuna matoke chanya baada ya huu mkurupuko wenye hisia za huzuni.
 
Haha as always kutoa statistics kutoka kwa makalio yako...uliletewa hapa official figures ukaoneshwa for example from a consumption of more than 360000t Tanzania ilichangia only 10000t mwaka jana sasa hio 40% iko wapi?? Ukitaka watu wawe wanakuchukulia serious jifunze kuwa unaprove statements zako otherwise unaonekana umejaza ujinga na utoto

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka Jana Tanzania haikuuza mahindi mengi Kenya kwasababu ilipeleka kusini mwa Afrika kutokana na kimbunga kilichozikumba nchi za Msumbiji, Malawi, na Zimbabwe, ndio sababu hata "Balance of trade" ilionyesha Kenya imeuza zaidi kwa Tanzania, lakini kwa wastani Tanzania inauza 40% ya mahitaji ya Kenya ya mahindi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wewe unajua kinachoendelea dunia hii?, 70% ya pamba inayotumika katika viwanda vya nguo Kenya inatoka Tanzania, watapata wapi Pamba?.

Kuhusu Chakula cha Tanzania, Soko la chakula cha Tanzania ni kubwa kuliko uwezo wa Tanzania kukidhi mahitaji ya hizo nchi, ungekua unalijua hilo, usingeandika hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni lini utaelewa kuwa nowadays Kenya do their business with Uganda? Most of our textile industries like Rivertex are importing cotton from Uganda.
Rivatex East Africa Limited revives cotton farming in Kericho County
 
nani analia sasa kati yetu na nyinyi[emoji1][emoji1]

wagonjwa 8 kutoka tz,mara 70,mara 13.

we don care.na saa hizi rais kaamua aje na boko la mwezi,litakalochacha wiki moja tu haiishi[emoji23][emoji23][emoji23]
Mnaezafungua hiyo border kama mnajiamini. Mnaishi kwa kupiga tu kelele lakini action ni zero. Hata Magufuli mwenyewe anajua kuwa haezijaribu Kenya.
 
Habari za Chake chake sheikh?, samahani sheikh ninaomba kukuomba kipindi hiki cha mwezi mtukufu usichangie hapa JF kwasababu ya swaumu akili yako haijakaa sawa.

Hivi hujui kwenye uchumi kuna neno " Demand & Supply?", kwamba Supply ikiwa kubwa bei inashuka?. Sasa hivi Tanzania bei ya vitunguu ipo juu sana bila hata kuwepo wageni kutokana na uzalishaji wa vitunguu kuwa Chini?.

Wakulima wetu wanazalisha chakula kingi kuliko mahitaji yetu ndio sababu bei inashuka kwahiyo lazima tuongeze demand kwa kutafuta masoko ktk nchi za Jirani.

Kitu kimoja unachopaswa kutambua ni kwamba, zaidi ya 75% ya chakula kinachozalishwa Tanzania hutoka mikoa ya kusini mwa Tanzania, ambayo masoko yao ni nchi za DRC, Zambia, Zimbabwe, Malawi na Botswana, Tanzania haitegemei soko la Kenya, tunaweza tukazuia chakula kwenda Kenya na kusiwepo na athari yoyote kwa wakulima WETU.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka juzi au mwaka jana hawa wakenya walikataa kununua mahindi yetu, wakaanza kununua ya zambia, then eti wayapitishe kwenye barabara za Tanzania to Kenye!! Mzee baba akapiga pini Magari yote ya Kenya hakuna kupita Tanzania!!! Mbona waliomba pooo!!!

ni swala la muda wataomba pooo soon, hawana ujanja
 
Mnaezafungua hiyo border kama mnajiamini uwezo. Unaishi kwa kupiga tu kelele lakini action ni zero. Hata Magufuli mwenyewe anajua kuwa haezijaribu Kenya.
wewe mbuzi kweli,sasa sisi tufunge boda kwanini??

nyinyi ndio tunashangaaa kwanini mnaziba mlango net[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rice 70%, Legumes 52%, Maize 45%, Onioni 60%, Fruits 78%. Hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
You are living in denial. Kenya siku hizi haifanyi biashara na Tanzania sana. What we import from Tanzania against what we have are less than 10%. Maize we only took around 10,000t from Tanzania against 360,000 that we produced locally.
 
Ni lini utaelewa kuwa nowadays Kenya do their business with Uganda? Most of our textile industries like Rivertex are importing cotton from Uganda.
Rivatex East Africa Limited revives cotton farming in Kericho County
Rivertex inapata 10% ya mahitaji ya pamba toka Kenya, 20% toka Uganda, and the rest toka Tanzania, kumbuka kwamba Tanzania ndio nchi yenye kuzalisha pamba nyingi na yenye kutumia katika nchi zote katika ukanda huu, ikiwemo Uganda "sometimes".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe mbuzi kweli,sasa sisi tufunge boda kwanini??

nyinyi ndio tunashangaaa kwanini mnaziba mlango net[emoji23][emoji23][emoji23]
Si mnakesha hapa mkisema kuwa you can decide to close. Mbona msifunge tu bila ya kupiga kelele na kulia?
 
Si mnakesha hapa mkisema kuwa you can decide to close. Mbona msifunge tu bila ya kupiga kelele na kulia?
nani amesema!!!!acha kujifanya kichaa bana baada ya kushindwa mamuzi ya kiume.

TUNASEMA HAMUWEZI KUISHI BILA KUACHA WAZI HUO MPAKA.una kichwa kubwa tu.
 
Rivertex inapata 10% ya mahitaji ya pamba toka Kenya, 20% toka Uganda, and the rest toka Tanzania, kumbuka kwamba Tanzania ndio nchi yenye kuzalisha pamba nyingi na yenye kutumia katika nchi zote katika ukanda huu, ikiwemo Uganda "sometimes".

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umebaki na guess work. Uhuru anajua very well why he closed the Tanzanian and Somalian border akaacha ya Uganda. Kama hueziprove your claims then utakuwa unaplay guitar to a deaf fellow.
 
nani amesema!!!!acha kujifanya kichaa bana baada ya kushindwa mamuzi ya kiume.

TUNASEMA HAMUWEZI KUISHI BILA KUACHA WAZI HUO MPAKA.una kichwa kubwa tu.
There is a reason we partially closed the border. Uhuru knows very well that are a lot of Kenyan goods going to Tanzania compared to those coming in. So angefunga completely angeumiza Kenyan companies.
 
Wewe umebaki na guess work. Uhuru anajua very well why he closed the Tanzanian and Somalian border akaacha ya Uganda. Kama hueziprove your claims then utakuwa unaplay guitar to a deaf fellow.
Hata border ya Uganda pia hakuna movements ya passengers vehicles, ni " Cargo vehicles " pekee ndio zinapita.

Kitu kimoja lazima ukubali, kwamba Kenya haiwezi kusurvive bila "Cargo" from Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
There is a reason we partially closed the border. Uhuru knows very well that are a lot of Kenyan goods going to Tanzania compared to those coming in. So angefunga completely angeumiza Kenyan companies.
mimi napenda unavyojitekenya mwenyewe na kucheka[emoji23][emoji23][emoji23].

sisi tunaangalia tu anavyohangaika,akichoka atasema.
 
There is a reason we partially closed the border. Uhuru knows very well that are a lot of Kenyan goods going to Tanzania compared to those coming in. So angefunga completely angeumiza Kenyan companies.
Only nonessential goods, Kenya doesn't have any essential goods for Tanzanian economy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom