Hivi wewe unajua kinachoendelea dunia hii?, 70% ya pamba inayotumika katika viwanda vya nguo Kenya inatoka Tanzania, watapata wapi Pamba?
Kuhusu Chakula cha Tanzania, Soko la chakula cha Tanzania ni kubwa kuliko uwezo wa Tanzania kukidhi mahitaji ya hizo nchi, ungekua unalijua hilo, usingeandika hivyo.
Sent using
Jamii Forums mobile app
Na hizi takwimu za uongo ulizoweka hapa umetoa wapi?
Nani kakwambia pamba ya viwanda vya Kenya ni 70% from TZ?Weka proof ya link au andiko hapa!
Na either way,huko wanakochukua hiyo remaining 30% ni wapi?Wanaweza chukua 100% huko huko wakiamua
India ndio biggest cotton producer in the world,not even close,nafatiwa na USA nusu ya tonnage zake!
Kutoka Punjab kupitia bandari ya Mumbai kupitia ghuba ya Uajemi kuja Mombasa sio mbali kiivyo wakiamua waende that route!
Tanzania haipo kwenye list,Africa inayoongoza ni Burkina Fasso kwa tonnage ndogo sana 185 Thousand Metric Tonnes,Tanzania hata metric tonnage hatujafikia.
Infact mtu mmoja akiamua anunia vipamba vyote huko Shinyanga ni one minute tu.Na pamba yenyewe ubora ni wa hovyo wanajaza maji na mawe eti uzito uongezeke!
What a shame!
Chakula ni very easy,Chakula cha TZ hakitoshi popote,Kenya wanaweza kata order anytime
Kama ulikua hujui biggest exporter wa maize to Kenya ni Uganda,na bado haitoshi wana import kutoka Brazil
Sukari haitoshi,wana import kutoka nje,hadi samaki wananunua toka China,Kenya wakiamua kukata ties na TZ hawaathiriki chochote,wao hua wana import regardless
Hii kiburi sijui tunaipata wapi wakati dunia inapambana kutafuta masoko,sisi tunajifanya hatutaki soko fulani sababu mawe kasema who infact thinking is not his strength at all.