Corona: Tanzania kuzuia chakula na bidhaa zingine kupelekwa Kenya

Pound ya UK ipo juu kuliko Dollar ya US vp kuhusu uchumi nani yupo juu kiuchumi? Fanya research before you write.
Rais ameshasema shilingi ya Tanzania ina nguvu Saivi na uchumi jana kasema upo vzr mbona unabishha?

CCM MBELE KWA MBELE
 
Acha ujinga, wakati kiswahili kinarasmishwa Tanzania kilikuwa tayari kina mizizi yake hususani Unguja na Pemba, kiswahili kilianza kutumika Unguja na Pemba kabla hata hakijaanza kuingia pwani ya Afrika ya mashariki (nazungumzia Mombasa, Kilwa na maeneo mengine ya pwani) hebu niambie Unguja na Pemba viko wapi?
 
Wakati inajulikana mwenye lugha ya kingereza ni UK ingawa mmarekani amejifanya kuikumbatia Kama yake kumbe mtumwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Msome basi hata Prof. Massamba wa Udsm kwenye kitabu chake cha historia ya Lugha ya Kiswahili na chimbuko lake ni wapi?

Kiswahili kimeanzia ukanda wa pwani wa Afrika Mashariki. Tusifikirie kidhana kuwa kwa vile wa Tz tunazungumza na kuandika Kiswahili nchi yote basi hii lugha chimbuko lake ni sisi.

Kuna lahaja mpaka za Kitumbatu. Kinapatikana kasikazini magharibi mwa kisiwa cha Unguja. Ni kisiwa cha tatu kwa ukubwa kwa kinachounda nchi ya Zanzibar.
 
sawa kabisa,suluhisho lishapatikana kila mtu abaki kwao ili tusiambukizane.
kama ni chakula kenya wakanunue kwengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unguja iko wapi vileee[emoji3][emoji3]
 
Sawa! Tupe uthibitisho!
 
Yen ya Japan sawa na sh ya kenya kwahiyo uchumi wa Japani sawasawa na Kenya kwa mujibu wa data zake za kiuchumi huyo mbumbumbu
Uchumi wa Zambia ni mkubwa kuliko ule wa Kenya, 1Zambian Kwacha = 6 Kenyan Shillings.

Uchumi wa Rwanda ni mkubwa kuliko wa Tanzania

1 RWf = 2.5 Tsh.

Rudi shule ukasome uchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada, vipi kuhusu mpango huu wa 'kuzuia'. Tupe update tafadhali.
 
Kwanini sisi TZ hatujafanya jitihada hizo??!!duh?
 
Uchumi wa Zambia ni mkubwa kuliko ule wa Kenya, 1Zambian Kwacha = 6 Kenyan Shillings.

Uchumi wa Rwanda ni mkubwa kuliko wa Tanzania

1 RWf = 2.5 Tsh.

Rudi shule ukasome uchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh tunao wachumi wengi kwelikweli...uchumi wa Zambia ni mkubwa kuliko wa Kenya kwa kuwa eti 1 kwacha is equal to 6 Kenyan Shilings
 
Sio joto la jiwe mpuuzi mwenzio ndio aliokuja na hiyo hoja ndio katolea hizo data kwahiyo uchumi wa Zambia mkubwa kuliko wa Kenya na uchumi wa Burundi mkubwa kuliko wa Tanzania ukirudi nyuma zaidi Mimi nilimuuliza kwahiyo uchumi wa Kenya upo sawa na wa Japan?, Maana mbumbumbu wengi wa Kenya wanajua uchumi mkubwa pesa ikiwa na dhamani kubwa Kwenye viwango vya kubadilisha ndio yenye uchumi mkubwa
Duh tunao wachumi wengi kwelikweli...uchumi wa Zambia ni mkubwa kuliko wa Kenya kwa kuwa eti 1 kwacha is equal to 6 Kenyan Shilings

Sent using Jamii Forums mobile app
 
'mpuuzi mwenzio'.....noted
 
Hakuna foreign currency Kenya acha umbulula eti foreign exchange.

Hivi pesa ya Kenya tunaeza ichukua Marekani kuinunulia Boeing? Hujui hata maana ya foreign currency fundamentals

Nacheka sana. Nikija TZ mara nyingi hupewa migunia ya pesa hali nikitoka kenya nimekuja na senti chache kwenye waleti. Jiheshimu. Furahia foreign currency 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…