Corona: Tanzania kuzuia chakula na bidhaa zingine kupelekwa Kenya

Corona: Tanzania kuzuia chakula na bidhaa zingine kupelekwa Kenya

Nacheka sana. Nikija TZ mara nyingi hupewa migunia ya pesa hali nikitoka kenya nimekuja na senti chache kwenye waleti. Jiheshimu. Furahia foreign currency 😂😂
Pamoja na magunia ya pesa bila Shaka huwa unapewa pia viroba vya mahindi na mchele na mikungu ya ndizi na sadolin au ndoo za nyanya na vitunguu bila kusahau machungwa...
 
Pamoja na magunia ya pesa bila Shaka huwa unapewa pia viroba vya mahindi na mchele na mikungu ya ndizi na sadolin au ndoo za nyanya na vitunguu bila kusahau machungwa...

Hilo lipo. Ila waTZ shida yenu ni moja. Mnadhani Kenya ni mkoa fulani finyu
 
Hilo lipo. Ila waTZ shida yenu ni moja. Mnadhani Kenya ni mkoa fulani finyu
Hahaha hapana Ndugu yangu...WaTZ wanarespond tu kwa kejeli na dharau waliyonayo Wakenya wengi (sio wote ) dhidi ya WaTZ....nilichogundua mimi.binafsi Wakenya wengi hawafahamu culture ya TZ...Watanzania hawapendi kudharauliwa....Sasa Wakenya wengi wanna tabia ya majigambo, kujisikia, dharau na majivuno...Wakenya wengi huwaona Watanzania ni masikini...hi ni kwa sababu ya infrastructure na viwanda vilivyopo Kenya...historically Kenya ilikuwa ni real colony la Waingereza ambao waliiona Kenya Kama second home kwa wakaiendeleza..TZ ilikuwa ni trusteeship territory yaani Waingereza waliishikia tu kwa muda kwa hiyo hawakuwa na sababu ya kuweka miundombinu ya uhakika..Sasa kwa kuwa Kenya iko mbele kwa viwanda ndio maana baadhi yenu huiona Tanzania ni masikini kuliko Kenya...lakini Kenya nako Kuna masikini wa kutisha pengine kuliko TZ..mifano ni kibera, maeneo ya wasomali kule kaskazini na pia maeneo ya Samburu na kadhalika...I for one I have been in Kenya kwa hiyo naifahamu Kenya...Tanzania ni eneo kubwa lenye ardhi kubwa ya kilimo ndiyo maana tunalima mazao mengi..
Kenya ardhi ni shida na sehemu kubwa ni ya watu binafsi...Sina hakika Kama new consititution ilisolve suala la.ardhi..Tanzania ardhi siyo ya mtu binafsi ni ya state ..mtu anapewa lease tu...Lakini kiujumla TZ na Kenya ni Ndugu ..tofauti yao ni mitizamo tu..
 
Hilo la watu maskini lipo kote duniani. Ila kinachinashangaza ni dhana kua Kenya ukulima upo chini. Mahindi yaliyopo Kenya ni mengi ila uongozi ndio wenye mwozo. Wao hununua chakula nje ya nchi hali chakula hicho kipo. Pili, dhana kuwa viwanda vilivyopo Kenya ni vile vya mabeberu kwangu halina mashiko. Sina shaka kwamba viwands vingi vimeanzishwa Kenya tangia mzungu aondoke. Iwapo kweli Tz ni nchi hii isifiwayo sana, maendeleo mengi yangekuwa wazi kufikia Karne hii. Ila sitofautiani na maoni yako kwa sehemu.
 
Ok ok ofcourse Kenya pamoja na mapungufu yao Kuna positives nyingi...moja ni lile la entepreneurship ...utafutaji..seriousness kwenye kazi..ndiyo maana hata hotel nyingi za TZ wenye hoteli hupenda kuweka Wakenya kwani wanajua biashara kwa sababu ya historical ties na wazungu..fahamu Kenya Kuna Settlers wengi wazungu ambao ile culture ya biashara wanawaachia Wakenya...TZ Settlers walikuwepo wachache na ambao karibu wore waliondoka after Arusha Declaration...Mimi natoka eneo moja (siwezi kulitaja hapa ) ambapo wakati wa udogo wangu miaka ya early 70's nilikuwa namuona lakini akaondoka...Alikuwa na ng'ombe wengi in hundreds na shamba kubwa la mahindi la mamia ya ekari...

TZ ni very potential kiuchumi...has almost everything...ardhi kubwa ya kilimo, misitu, bahari, maziwa, mito, samaki, mifugo (I think TZ is second kwa mifugo in Africa after Ethiopia), madini Kama dhahabu, almasi, Tanzanite, copper, iron, uranium etc, gesi, possibly mafuta ingawa hi bado kuwa confirmed, nice and beautiful beaches, human resources (almost 60 milioni people) etc..what TZ lacks ni leadership ...ndio maana utaona millions of Tanzanians wanampenda JPM kwa kuwa wanamuona kuwa Yuko genuine kuleta maendeleo...usidanganywe na mitandao ukadhani kuwa Magufuli hapendwi Tanzania...huyu kiongozi anaweza akam-rival Nyerere tu kwa kupendwa na Watanzania...na hata kweny uchaguzi wa Oktoba uwezekano wa kupita kwa 90 percent ya votes ni mkubwa...

Nyie Kenya Kama nilivyosema tatizo lenu ni majigambo, dharau na hila...otherwise Tanzanians have no problem with Kenyans..
 
Watanzania wanashabikia mambo ya kijinga sana. Wanadhani hatua za mapambano ya Corona kule Kenya zimelenga watanzania na Tanzania, wanasahau kabisa hata huko Kenya kuna miji imefungwa kabisa, raia wa Kenya huwezi kuingia wala kutoka, na kuna wakenya wengi hilo linawaumiza.

Sasa itakuwaje kwa mgeni unayetoka kwenye nchi yenye maambukizi ya holela kama Tz uingie tu Kenya bila kuwekewa vikwazo?
Sawa lakini wasisingizie kuwa sisi ndiyo waleta Coronavirus Kenya. Na hata hivyo Rais Uhuru alipaswa kuzungumza na jirani yake au Rais mwenzake jinsi ya ku tackle hili problem na sio tu kuamua kibabe na kuutangazia ulimwengu kuwa wao wanachukua action ya uhakika kukabiliana na hili janga.

Wakenya na nchi nyingine zilizo wafungia watu wao hazitaweza kuondoa Coronavirus wamesogeza mbele tu. Mpaka wananchi wao wapate community ndiyo itapungua au atumie chanjo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatutegemei Kenya kuuza mazao,mwaka juzi kama sijakosea,mlileta ujinga,tukauza mahindi kwa shirika la WFP, na solo mwaka litakuwa kubwa sana kwa sababu kuna njaa,pia kuna SADC! TZ has nothing to lose.
Kenya has nothing to lose either. You can market your products elsewhere tz is inconsequential and doesn't feed Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Not true, Tanzanians agricultural products have huge markets in Southern African countries and DRC, we can't even satisfy their demands, we don't need Kenyan market, that's why Government of Kenya sent their officials humbly on their knees to request for maize.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya dies not rely on tz anywhere you would rather sell to those other countries. Kenya does not need them.There is nothing unique you sell to Kenya that cannot be bought from other countries.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwasababu hujui dunia inavyokwenda, chakula cha Tanzania kwa muda mrefu kimekua kikiuzwa zaidi DRC na nchi za kusini mwa Africa, WFP walikua hawanunua kwa sababu hatukua na kiwango cha kutosha wanachohitaji, kumbuka Mara kwa Mara Serikali yetu ilikua ikipiga marufuku uuzaji wa chakula nje ya nchi ili kukabiliana na upungufu wa chakula, hicho chakula ulichokua unakiona kikienda Kenya, ni sehemu ndogo sana ya kinachokwenda kusini mwa Africa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe jamaa ukikutana na wajinga unaweza kuwadanganya sana na mambo ambayo hata huyajui unakisia tu. Boya sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili lijamaa joto la jiwe hata halielewi linasema nini linabwatabwata tu.
Kumbe kinachakwenda Kenya ni sehemu ndogo ya sana ya kinachokwenda kusini.

Japo hii sentesi yako imekaa kiupande upande kama akili zako ila unaweza kuwa umefunga huu mjadala kwa jinsi unavyojichanganya mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha arguments za kijinga ndio maana unaambiwa wewe la saba. Kwa akili yako finyu muuzaji anauza bidhaa zake kwenye bei kubwa au ndogo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya ndio mnaokuja kuomba kuuziwa bidhaa ili muweze kukimu maisha yenu, sisi tuko na wanunuzi wengi, 90% ya chakula chetu na bidhaa zetu tunauzia nchi zingine sio Kenya, kwasababu ya upumbavu wenu unadhani Kenya ndio Mnunuzi mkubwa wa chakula cha Tanzania.

Tangu hizi fujo za Corona kuanza, hakuna mkulima wa Tanzania anayesema mazao yake yamekosa soko, ila ninyi mnaanza kulia na masoko yenu yemefungwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchele wa kutoka Kyela Tanzania ni premium, kwanza tu jinsi unanvonukia pale jikoni🙂

Kwa ujumla vyakula toka Tanzania No organic na of high quality, huwezi linganisha na vyakula toka China au Pakistani.

Ni sawa na kulinganisha premium Germany built cars na Chinese built one. The difference is like Heaven and Earth....
Kabisa. Kwanza mchele unatoka hadi Pakistan kwa bei ya chini.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom