Pamoja na magunia ya pesa bila Shaka huwa unapewa pia viroba vya mahindi na mchele na mikungu ya ndizi na sadolin au ndoo za nyanya na vitunguu bila kusahau machungwa...Nacheka sana. Nikija TZ mara nyingi hupewa migunia ya pesa hali nikitoka kenya nimekuja na senti chache kwenye waleti. Jiheshimu. Furahia foreign currency 😂😂