Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Mungu daima milele ndo maana amekupa akili ujitambue na kutatua matatizo yako na kutatua kwa kutumia chanjo!Upo sahihi sana ndugu yangu. Kikubwa ni imani thabiti kwa Mungu wetu huku tukifuata maelekezo yote kutoka kwa wataalamu wetu (wizara ya afya).
Inasemekana kuna wachina walimuomba mungu alete corona na sasa imesambaa dunia nzima!Mungu daima milele ndo maana amekupa akili ujitambue na kutatua matatizo yako na kutatua kwa kutumia chanjo!
Ukifa kijinga atakuhukumu kwa ujinga wako!UJINGA NI DHAMBI!
Inasisimua Sana kuona China Magufuli aka Jiwe anavyosisitiza tusimame na Mungu. Incredible!Corona Tanzania ni vita kati ya Mungu na wasiomwamini kuwa aweza shinda Corona Mungu atashinda hajawahi shindwa
Wasiomwamini wanachekelea wakisikia tetesi kuwa kuna Corona wanahoji Mungu kuwa nyie mliojitia kuomba kiko wapi ? Shetani mleta Corona kamshinda Mungu huyo Mungu wenu bure kabisa!!!
Hii vita Mungu wa Tanzania ataibuka mshindi tena kwa knock out
Wazungu wajiandae kutushangaa Watanzania kwa ushindi mnono awamu hii tena
Tanzania kwa sasa ndio taifa teule limeibwaga Maka na Medina na Vatican na Israel kwenye vita dhidi ya Corona kwa kumtumia Mungu yaani using God factor on war against Corona a weapon that other countries have rejected
Mungu huyu huyu ndiye aliruhusu mwanae wa pekee Yesu Kristo ateswe na kuuwawa, kumbe alishapanga kumfufua siku ya tatu!Huyo Mungu mbona anawaua hata wanaomwamini? Hayuko fair na haeleweki
Na Mungu huyu huyu mwingi wa rehema na mwenye huruma atatuchoma moto wa milele siku ya mwisho.Mungu huyu huyu ndiye aliruhusu mwanae wa pekee Yesu Kristo ateswe na kuuwawa, kumbe alishapanga kumfufua siku ya tatu!
ameenCorona Tanzania ni vita kati ya Mungu na wasiomwamini kuwa aweza shinda Corona Mungu atashinda hajawahi shindwa
Wasiomwamini wanachekelea wakisikia tetesi kuwa kuna Corona wanahoji Mungu kuwa nyie mliojitia kuomba kiko wapi ? Shetani mleta Corona kamshinda Mungu huyo Mungu wenu bure kabisa!!!
Hii vita Mungu wa Tanzania ataibuka mshindi tena kwa knock out
Wazungu wajiandae kutushangaa Watanzania kwa ushindi mnono awamu hii tena
Tanzania kwa sasa ndio taifa teule limeibwaga Maka na Medina na Vatican na Israel kwenye vita dhidi ya Corona kwa kumtumia Mungu yaani using God factor on war against Corona a weapon that other countries have rejected
yap! ni kwa uzinzi wako na ushirikina uliokithiri..Na Mungu huyu huyu mwingi wa rehema na mwenye huruma atatuchoma moto wa milele siku ya mwisho.
Kwako wewe mheshimiwa Mungu.Sikujua hivi kumbe kila nchi ina Mungu wake, oukeyyyy.
Ni yeye aliyeruhusu watu kuwa wazinzi na washirikina, katuumba na udhaifu huo...angeweza kutuumba vile anavyotaka yeye tuwe.yap! ni kwa uzinzi wako na ushirikina uliokithiri..
Naam!Na Mungu huyu huyu mwingi wa rehema na mwenye huruma atatuchoma moto wa milele siku ya mwisho.
Kiimani, kusema covid-19 ipo ni kukubali kushindwa. Ndiposa Imani inaelekeza kukataa mabaya (yaani hata kama yapo unasema hakuna kitu kama hicho). Ndio tofauti ya Sayansi na Imani!Watanzania acheni kumdhihaki M/MUNGU. Wapi yamefanyaka maombi M/MUNGU awaepushie hili janga la CORONA. Mkuu wa nchi anasema CORONA haipo watendaji wake wooooote wanasema kuna changamoto wa UPUMUAJI. Emu nambieni ni MUNGU gani anaeweza jibu maombi yenu na anajibu nini mnachomuomba kama nyie hamjaelewa nini kinakusumbua.
Acheni undenzi mataga nyie
Ndugu yangu, na wewe upo sahihi. Wakati mwingine Mungu huwaokoa watu wake kwa kupitia watu. Utakumbuka wana wa Israel wakiwa jangwani, katika safari yao ya kwenda Kanaani, walimkosea Mungu, na Mungu aliamua kuwaadhibu kwa kuwashushia nyoka, na kila aliyeumwa na nyoka alikufa (simaanishi Mungu ametuletea Corona). Baada ya maombolezo, Mungu alimwambia Musa atengneze nyoka wa shaba na amtundike juu, na kila atayeumwa na nyoka na aende akamtazame nyoka huyo wa shaba. Tazama, kila aliyeumwa na nyoka na kwenda kumtazama nyoka huyo alipona! Kwa hiyo, nimesema Tuwe na imani thabiti kwa Mungu huku tukifuata maelekezo ya wataalamu nikimaanisha Mungu anaweza kuikomesha directly au kupitia kwa watumishi wake.
Mungu ni mmoja.
Ila wengine wameamua kumtegemea MZUNGU.
HAPO NDIPO SHIDA INAPOKUJA..
KILA KITU KIMERATIBIWA NI WEWE TU KUCHAGUA NJIA INAYOKUFAA! ULIJUAJE KMA NI YEYE ALIUMBA YOTE HAYO?🙂 MAANAKO UZINZI NA USHIRIKINA TUNAOFANYA NI MAKOSA YA MUNGU?Ni yeye aliyeruhusu watu kuwa wazinzi na washirikina, katuumba na udhaifu huo...angeweza kutuumba vile anavyotaka yeye tuwe.
Anatengeneza tatizo halafu anatuhukumu.
Wakiwapo walau watu 10 wenye Imani jadidi, wakamwomba Mungu tutaibuka washindi. Kumbuka ubishi wa Abraham kwa Mungu kabla Sodoma na Gomora haijalipuliwa na mvua ya Moto!Mungu yupi anaombwa na taifa la Tanzania?
Na Mungu huyu huyu mwingi wa rehema na mwenye huruma atatuchoma moto wa milele siku ya mwisho.
Wakiwapo walau watu 10 wenye Imani jadidi, wakamwomba Mungu tutaibuka washindi. Kumbuka ubishi wa Abraham kwa Mungu kabla Sodoma na Gomora haijalipuliwa na mvua ya Moto!
My opinion: wenye Imani waendelee kumwomba Mungu atuponye, wataalamu wanasayansi pia wapewe nafasi tutumie maarifa Yao. Maana Mungu ndie ameumba wanasayansi na mi yeye ndiye anasimamia mawazo na fikra zao. Yaani anafanya njia kupitia Scientists.