Upo sahihi sana ndugu yangu. Kikubwa ni imani thabiti kwa Mungu wetu huku tukifuata maelekezo yote kutoka kwa wataalamu wetu (wizara ya afya).
Maswali yako ni ya kisayansi zaidi. Imani sio Sayansi. Itafika wakati utaona hii tofauti.Hayo mataifa mengine hayana walau watu 10 wenye imani ili waibuke washindikama mnavyotegemea Tanzania itaibuka mshindi?
Mungu anayeabudiwa Vatican na wakatoliki, Mecca na Waislamu, India na Wahindu na China na Wabudha ni huyo huyo mmoja?
Kama moto upo hapa hapa duniani bakubaliana na wewe, ila kusema atatuchoma moto wa milele haingii akilini.Naam!
Msingi wa Imani yangu ni Biblia. Kitabu cha kumbukumbu la Torati 28 kimeandika faida za kumuamini na kumtumikia Mungu. Hizi faida zinapatikana hapa hapa Duniani. Kitabu hiki sura 19 kimeandika hasara za kutomwamini Mungu. Hizi nazo zinatokea humu humu Duniani. Ndio kusema Moto wa milele tunaanza kuteseka nao hapa hapa Duniani.
Ya moto wa milele ni Imani zaidi!Kama moto upo hapa hapa duniani bakubaliana na wewe, ila kusema atatuchoma moto wa milele haingii akilini.
Maswali yako ni ya kisayansi zaidi. Imani sio Sayansi. Itafika wakati utaona hii tofauti.
Binafsi nilikuwa mbishi sana kuliko wewe kuhusu haya mambo ya Imani. Wakati wangu wa kuelewa ulipofika nilisalimu amri.
Nikutakie heri kwenye safari yako ya udadisi.
Tofauti yetu na wao.
Sisi tumemkabidhi AFYA ZETU.
Tumemwambia MUNGU wewe ndiye tunakutegemea
Mantiki = LogicalHakuna swali lolote la kisayansi nililouliza hapo, nimeuliza swali jepesi la kimantiki tu.
Mmemkabidhi Mungu yupi? Wapi ambao hawajamkabidhi? Kwamba Mecca,Vatican na Washington wamesahau kumkabidhi Mungu Afya zao? Mbona nawaona na wao wakisali na kuswali kila siku?
Kwa hali ilivyo tz na duniani kitakachotuokoa ni ALLAH pekee hakuna cha zaidi ni kumuomba yeye, ila nashangaa hadi leo kuna watu wanashindwa kutamka wazi kuwa tz kuna korona, huu ni unafiki na Mungu hapendi wanafiki na waongoCharity begins at home wengine hawaamini katika maombi watanzania tunaamini
I cant waste my time praying for infidels countries who dont believe that God can remove Cotona in their countries wapambane na hali yao na upagani wao
umesikia kiongozi yeyote akisema amemkabidhi MUNGU janga la Corona zaidi ya magufuli?
Kwa hali ilivyo tz na duniani kitakachotuokoa ni ALLAH pekee hakuna cha zaidi ni kumuomba yeye, ila nashangaa hadi leo kuna watu wanashindwa kutamka wazi kuwa tz kuna korona, huu ni unafiki na Mungu hapendi wanafiki na waongo
Unasemaje ameshindwa?Mbona ALLAH ameshindwa kuwaokoa Mecca?
Ndio, Trump na Kenyatta waliitisha hadi maombi ya kitaifa.
sasa shida IPO wapi?
Shida ni hapa kwetu wamepiga teke mpango wa chanjo na njia zinazokubalika kitaalamu kupunguza athari za COVID.
sasa shida IPO wapi?
Hao waliopata chanjo wamepona?
Mungu ametupa maarifa tuyatumie, corona ilipoingia nchini kulikiwa na hamasa nzuri sana,kila mmoja lijihadhari na kumsimamia vizuri aliyeonekana kulegalega, pamoja na maombi ila hilo nalo lilikuwa jambo lililopunguza kuenea kwa ugonjwa, ila saizi mtu univaa hata mask watu wanakushangaa........hakuna anayekataa uwepo wa Mungu ila huyohuyo Mungu ametoa maarifa kwa wanadamu yawasaidie.......tuhubiri tahadhari na kumrudia Mungu.....lasivyo haohao wanasiasa ndiyo wapo kwenye risk kubwa ya kuupata ugonjwa kutokana na movement zao.
Jk kuvaa mask siyo mjinga