mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kazi ya chanjo sio kuponya
Uko sahihi, hayo yote inatakiwa yaende pamojaWapo wanaokataa uwepo wa Mungu katika Taifa hili kwa sababu katika taifa hili sio lazima kuamini Mungu au kuwa na dini. Tuachane na hizi kauli za kubembelezana sana, tujikite kudai ujuzi na taaluma katika kuliongoza taifa sio Imani za watu.
Basi kila MTU haamini anachoamini.
Mimi na magufuli tumemuamini MUNGU ANaweza kutuponya..
Na wewe unayemuamini mzungu na chanjo zake endelea kumuamini kikubwa UHAI
Kwani chanjo katengeneza Mzungu tu? Wewe vipi! Kachukue za Wachina kama tatizo ni wazungu
Kuchukua tahadhali ni kutokuamini, kupiga nyungu ni kuamini, hata hao maaskofu wapo upande na shetani rusifa.Corona Tanzania ni vita kati ya Mungu na wasiomwamini kuwa aweza shinda Corona Mungu atashinda hajawahi shindwa
Wasiomwamini wanachekelea wakisikia tetesi kuwa kuna Corona wanahoji Mungu kuwa nyie mliojitia kuomba kiko wapi ? Shetani mleta Corona kamshinda Mungu huyo Mungu wenu bure kabisa!!!
Hii vita Mungu wa Tanzania ataibuka mshindi tena kwa knock out
Wazungu wajiandae kutushangaa Watanzania kwa ushindi mnono awamu hii tena
Tanzania kwa sasa ndio taifa teule limeibwaga Maka na Medina na Vatican na Israel kwenye vita dhidi ya Corona kwa kumtumia Mungu yaani using God factor on war against Corona a weapon that other countries have rejected

Unaona imeandikwa 4 unakemea unanena kwa lugha oooooo naona 7. Tofautisha ukweli na uongo. Covid19, 20 na 21 ipo. Ongea na MUNGU wako kwa imani mwambie watu wangu wanaangamia kwa corona, nae atakuonyesha mlango wa kutokea. Yaaan unaona corona afu unasema pnemonia.Kiimani, kusema covid-19 ipo ni kukubali kushindwa. Ndiposa Imani inaelekeza kukataa mabaya (yaani hata kama yapo unasema hakuna kitu kama hicho). Ndio tofauti ya Sayansi na Imani!
Umeelewa hoja vizuri sanaUnaona imeandikwa 4 unakemea unanena kwa lugha oooooo naona 7. Tofautisha ukweli na uongo. Covid19, 20 na 21 ipo. Ongea na MUNGU wako kwa imani mwambie watu wangu wanaangamia kwa corona, nae atakuonyesha mlango wa kutokea. Yaaan unaona corona afu unasema pnemonia.
Huyo Mungu gani sasa unamchezea ivo.
Unaona mkate afu unasema ni kuku.
Walokole mmetufikisha hapa aiseeee
What a joke!! Ninyi mikono inavuja damu kwa udhalimu, wizi, zinaaa, kuminya haki za watu, ushirikina etc ndiyo muwe na Mungu??? Endeleeni kumdhihaki mtapata majibu yake...Ndio aweza hama nchi akaenda nchi inayomtegenea ndio maana alikuwa Mungu wa Ibrahim na Isaka na Yakobo wakati kulikuwa na mamilioni ya watu duniani akiwemo farao lakini hakuitwa Mungu wa Farao
Mungu sio wa kila mtu ni wa wale tu wamtegemeao
Sisi Watanzania ni Mungu weti sababu tunantegemea kwenye vita dhidi ya Corona wakati wengine hawamtegemei
Well said [emoji120] [emoji120]Tatizo ni kuwa haya maneno makuu kuhusu Mungu tunayasema kama matokeo ya kujifariji dhidi ya hofu iliyo ndani yetu,hatuyasemi kutokana na imani yetu na vile tunavyomjua Mungu,na tunvyompenda,
Hizi ni zama ambazo jina la Mungu linatumika vibaya sana kwa faida binafsi,
Acha ujinga,Kama Mungu ndivyo anavyotumika kutatua matatizo ya watu,unaonaje tumtumie hivyo kutatua vifo vya watoto kwa malaria,umaskini,ukosefu wa ajira,kwanini tunajenga zahanati,hospitari,tunasomesha madakitari,si tupige dua tu,Mungu atafsnya miujiza?!Corona Tanzania ni vita kati ya Mungu na wasiomwamini kuwa aweza shinda Corona Mungu atashinda hajawahi shindwa