Corona: Tanzania yaingilia kati, madaktari wake wajitolea kwenda China kuidhibiti

Acheni mambo ya kisiasia, China sasa hivi Nina Kama frontline ya battlefield katika Corona, Lugha ni muhimu sana , Sijui wataenda kufanya kazi gani China wenywewe wanalia na upungufu wa vifaa. Hiyo in death trap sio msaaada
 
Nadhani sio mbaya wakaoelekwa wale majw wa korosho
 
Huku bado wakiangalia wale Nzige pale waganda wakipambana nazo! Corona virus ikikukosa basi nziga wakija huku njaa itakuua! Think carefully and act wisely
 
madaktari wa Tanzania wanaenda kutibu na dawa gani,au wanaenda kubadilishana ugonjwa
 
Na hivi safari za nje zilikatazwa hapo ni Mambo ya posho tuuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…